More than 100 good reasons why Jf/MMU is a wrong place for you to search a partner

More than 100 good reasons why Jf/MMU is a wrong place for you to search a partner

We Kaizer acha kulewa asubuhi, mpaka uje Jf kumtafuta mtu usiyemfahamu, bila shaka utakuwa na uchizi wa kutosha.

hahaha apo nimecheka kweli, yaani umenisababishia kiu ya gafla apa ujue!

wenza"hawatafutwi" in real sense....if you set out ur day eti unaenda kutafuta mwenza.....itakula kwako....mwenza unakutana naye na hapa tunakutana binadamu wa jinsia tabia na uelewa tofauti...

nani kamwaga pombe yangu? koh koh koh
Ennie hebu come zis way kabla Asprin hajaamka, umesikia Baba V karestishwa kwenye server?
 
Last edited by a moderator:
Relax Kaizer,usitumie nguvu nyingi hivyo kumuelewesha. Ukweli anaujua huyo anabisha kwa sababu ameamua kuwa mbishi tu

duh.... Ennie kuna kahawa apo karibu maana jamaa anantia majaribuni nipige gambe asubuhi
 
Last edited by a moderator:
Wapo wengi wenye mahaba zaidi yake. Umekutana na mmoja tu, fanya comparison.

Na huu uwongo wenu wa kumdanganya mtu mahaba unayonipa sijawahi kupata kwa mwanaume mwingine, hali umemwambia wewe hujawahi kuwa na mwanamke na bikira yako imetoka kwa sababu ya kuendesha baiskeli, nadhani source ni MMU.

Tahadhari yako ni sawa....
Ila baada ya kukutana jf kuna ile getting to know each other better.....its not like a marriage is concluded right here....
 
Mwanaume pekee anayeweza kupiga kifua mbele za watu na kuwaambia bila kupepesa macho kwamba ana mrembo na namna alivyokutana naye ni yule tu ambaye amemface physically. Ukimpata humu Jf ushuhuda wako hata kuutoa kwa watu itakuwa majanga. CC: Mashaxizo, Mshinga, Himidini.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza mwanaume gani ambaye unashindwa kukabili wanawake physically na kuwatongoza, badala yake uje kufanya mtandaoni huku ukiwa umejificha? Hata huyo mke utakayempata atajua wewe ni kimeo mpaka basi. Issue hapa mkuu ni namna gani na wapi ndoa inaanzia. Mkizingatia haya ninayoyasema mtatupunguzia sana tatizo la ndoa kuvunjika na majanga mengine yanayoambatana nayo.

mtandaoni kuna wanawake au hakuna? jibu kwanza apo
 
Tahadhari yako ni sawa....
Ila baada ya kukutana jf kuna ile getting to know each other better.....its not like a marriage is concluded right here....

hommie unadhani huyu Simplicity. hajui au anajitoa ufahamu tu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: RR
Nimekumbuka zamani wanaposema soko la dunia nilidhani kuna mahali pana uwanja au jengo kuuubwa... linatumika kama soko...

Sasa kuna watu wanadhani kuwa kuna mahali 'spesho' pa kukutana na mwenza wa kuishi nae...
 
hahaha apo nimecheka kweli, yaani umenisababishia kiu ya gafla apa ujue!

wenza"hawatafutwi" in real sense....if you set out ur day eti unaenda kutafuta mwenza.....itakula kwako....mwenza unakutana naye na hapa tunakutana binadamu wa jinsia tabia na uelewa tofauti...

nani kamwaga pombe yangu? koh koh koh
Ennie hebu come zis way kabla Asprin hajaamka, umesikia Baba V karestishwa kwenye server?
Coming.
Yamemsibu yapi tena jirani yangu Baba V?
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli kwa sababu zifuatzo moja watu wanaoutumia jf ndio haohao waliopo mitaani tofauti yao i kwamba wanaweka avatar na majina yasiyo yao lakini tabia ni zilezile zao nashindwa kuelewa onakuwaje hamna hata mmoja aliyeweka picha kumthibitishia huyu mleta mada binafsi nimefanikiwa kupata mpemzi ambae currently ni mchumba humuhumu jf nw nina mwaka nae wa2 toka tumesex not to mention kujuana ila nashindwa kumtag coz yeye sio member bali ni guest mpk leo na niliwasiliana nae coz niliweka mawasiliano yangu ya simu,ukiendelea kubisha nitakuwekea picha yangu na yake uamini kwa muda then ukishaiona nitatoa.
 
Duh! Pole sana Simplicity!
Kumbuka mtu hapati alitakalo but hupata ajaliwalo!!!!
 
1. Fake name means fake future partner.

2. You must be insane, hilarious, seriously sick or even a big joke if you can't afford to find a partner out of infinite many people that physically surround you at every instant second, and dream that MMU will do a magic for you!

I will be back soon to give you the remaining reasons.

Mkuu... za kuambiwa, changanya na za kwako

depending on how you use JF MMU, waweza faidika au kuingia hasara...

if you are seriously searching for a partner, the any place with hidden profiles is a wrong place, but if you are searching for "intel" or insights on how to get a good one and be a good one, then JF MMU is the place to be

as Boss said, don't take JF too seriously, itakutoa mbavu
 
Tahadhari yako ni sawa....
Ila baada ya kukutana jf kuna ile getting to know each other better.....its not like a marriage is concluded right here....

There might be such a chance, lakini ni ya uwezekano wa kushinda bahati nasibu ya Mimi ni Bingwa ya airtel kwa wiki kumi mfululizo.

Ukikutana na mwanamke/mwanaume Jf kwa kwa issue tofauti na mapenzi, may be mtu aliweka uzi akasema anauza kiwanja au shamba, au simu au kwa dili lolote la kibiashara au la kimaisha, hatimaye mkaamua kukutana (with no sexual drives attached) physically kwa minajili ya kufanikisha hilo dili na sio kutaka kuanzisha uhusiano, halafu katika kufanikisha dili lenu mkawa mmezoeana na hatimaye mkaanzisha uhusiano hapo nitakubaliana na wewe.

Lakini kuanza kumtongoza mtu MMU humfahamu kwa intention tofauti kama nilivyoeleza hapo juu, ni majanga usipime! There are several good reasons:

4. MMU watu wengi wapo desperate (wengi wao wameionja joto ya jiwe kwenye mahusiano, look at their threads) na mahusiano ambayo mengi ni kwa ajili ya kungonoana, wapo wanaotafuta wenza lakini they are doing it wrongly pia, come on, MMU sio shopping mall ya wanawake au wanaume.

5. MMU ni potential target ya akina Yahya (mtu anaweza kupretend kwa muda wa kutosha kukupata, lakini lazima ulie mwisho wa siku)

6. Kuweka uzi directly unatafuta mwenza au kuonyesha hisia wazi wazi kwamba unatafuta mwenza, you must be questionable na lazima nikuingize kwenye numbers 1 and 2, unless you are kidding.

7. The BIG question is: Mtu anayetafuta mwenza MMU ambaye hata hajulikani, inakuwaje ameshindwa kutafuta kutoka kwenye makundi ya watu anayokutana nayo?

Naenda kanisani, twendeni tinna cute Sista sister Ennie, etc.,
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu alimprovoke, akaruka naye mazima iles redi ya english only chit chat..tumwombee atoke mapema

hahaha kavurugwa kwani kidogo?
Kuna watu wanatia hasira kwa kweli unajikuta tu unawapa makavu!!!!
Pole yake. Tumuombee tu
 
Simplicity ujue mie bado nasubiria sababu zifike 100.
Afu mpaka sasa sijajua tatizo lako ni lipi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom