More than serious nahitaji mume wandugu

More than serious nahitaji mume wandugu

Naheshimu Sana hisia zako kwanza mungu akufanyie wepesi mimi niko very serious Nahitaji mke njoo in box
 
Watu Kama hawa wanatakiwa kuja na mrejesho ili tuone kama hili jukwaa Lina manufaa au tunauziana chai tu
 
wapo wanaume pia ambao wanahitaj kam lako so mung atakukutanish ucjare ni vema umewek wazi
 
wapo wanaume pia ambao wanahitaj kam lako so mung atakukutanish ucjare ni vmea
 
Masharti kibao kama mganga wa kienyeji, we endelea tu kuzeeka na masharti yako.
 
Re: ADVERTISMENT

More than serious nahitaji mume wandugu

Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 32. Sijaolewa, sina mtoto na Ninatafuta/ Ninahitaji mume mwenye hekima, busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini. Pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie - kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu.Mwenye umri kuanzia 33-43.

Napenda awe Mkristo aliye na hofu ya Mungu ndani yake. Awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela hivi kwa umri huo. Awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi. Awe tayari kupima ukimwi zaidi ya mara 3. Awe muwazi.

Mimi ni muajiriwa katika shirika

Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.

Mimi la 7 lakini niko bright na ninaelewa mambo mengi sana pengine kushinda hata wewe isipokuwa kwenye Field yako tu.

Alafu punguzeni ubashite kwenye maswala ya elimue, kwahiyo uko tayari kuolewa na mtu mwenye degree ya political science lakini si certificate ya fani za medical, unazani kati ya hizo fani mbili na kwa level hizo wakisema wanatoka kwenda kutafuta ajira nani atarudi nyumbani kichwa chini.

Huwa sipendi kuzalau fani na level ya elimu ya
fani za watu wengine lakini mpaka muda huu navyo comment hapa the people the so calling them selves WASOMI they breath through oxygen machines interm of employment unless those who are scientists
 
Mume mwema hatafutwi ktk keyboard.
Hiviiiiiii watu wa mawazo Haya Huwa.mnatokeaga Choooni?? Sasa sikia wewe falaaa..wafuate JF walalamikie page hii ifungwee.Mdada wa watu keshajiekezaaa.Wewe kama huna sifa poteaaa Nendaaa kafiee mbele shetwaaaani mkubwa Sasa ndo ametafuta Na Atapata au keshapata.Kunywa Sumu.
 
Una miaka "33 - 43" ndio nini hicho, unaficha nini, au ni kibibi kimepigika?

Kama "mke mme mwema anatoka kwa Mungu," kwa nini unakuja kutafuta mume mitandaoni, kwani Mungu hajui kwamba unatafuta akushushie mume?

Kama unataka mtu wakuwa nae "kwa raha na tabu," kwa nini hutaki mtu mwenye tabu ya ukimwi? Kama hupendi mtu ambae hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake kwa sababu "kuna janga la ukimwi," vipi ambae anajua kujikinga na ukimwi lakini anapenda wanawake? Na ukimwi si una dawa?

Mchumba awe "walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela." Hueleweki, diploma ndio nini na "kabachela" ndio nini?

Awe ameajiriwa kwenye "shirika au serikalini." Vipi kama ana mahekari ya mashamba ya kahawa na ng'ombe wa maziwa na nyama na maduka ya kubadilisha hela ambayo sio "shirika"? Unajua unachokiandika?

Hutaki mtu anaetaka "kujaribisha," well, mtu una mvua 43 usawa huu, nitajuaje bado unashika mimba wewe kama sijajaribisha kwanza?

Wife advertisement yako haijaenda shule.
Umekurupukaaaaaaa Punguza hasiraa.
 
Yani kutokuelewa kwako tangazo la Kiswahili lililoandikwa kwa lugha rahisi kunaonesha jinsi gani ulivyo na upeo mdogo wa ufahamu... Inawezekana bichwa lako limejaa sponji na ubongo wako ni mdogo kuliko ubongo wa kuku... Funga na kuomba akili yako ikue...
 
Hiviiiiiii watu wa mawazo Haya Huwa.mnatokeaga Choooni?? Sasa sikia wewe falaaa..wafuate JF walalamikie page hii ifungwee.Mdada wa watu keshajiekezaaa.Wewe kama huna sifa poteaaa Nendaaa kafiee mbele shetwaaaani mkubwa Sasa ndo ametafuta Na Atapata au keshapata.Kunywa Sumu.
~~~>>>Hizo ni stress za kuolewa...... Njoo nikuoe mke wa 4 ili upunguze stress.....
 
0786133416. Huyu ni rafiki angu wa karibu sn. Kasoma taarifa zako ana uhtaji huo mtafute.
 
Back
Top Bottom