Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

Kuna kipindi niliamua kumuacha akaja kwangu kujiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Babati? Akitokea wapi Mpwa? Mpwa nenda nae taratibu, wanaume halisi huwa hatuachi wanawake kwa kuanika mambo ya sirini hadharani.

Huu sio u-gentleman, a real gentleman anakata tu ule mrija kimya kimya ili kesho au keshokutwa ukishikika upate pa kupunguza.
 
Asante kwa ushauri mzuri
But kila nikiamua kumpotezea huwa anakuja kwangu kunisumbua
Make huwa ninafuta mpaka mawasiliano yake ili nisimtafute.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume hatuandiki mambo ya wanawake hivi, akikuumiza unafanya maamuzi kimya kimya. Ukiandika hivi tutajuaje urijali wako? Achana na hizo habari katafute pesa
 
Huko Babati? Akitokea wapi Mpwa? Mpwa nenda nae taratibu, wanaume halisi huwa hatuachi wanawake kwa kuanika mambo ya sirini hadharani.

Huu sio u-gentleman, a real gentleman anakata tu ule mrija kimya kimya ili kesho au keshokutwa ukishikika upate pa kupunguza.
Asante kwa ushauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafaham kila kitu
Ila imenibidi niteme nyongo niwe fresh
Ni mtaalam Sana wa kumezea vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, unatuangusha Wanaume! Huwezi kubishana na mwanàmke kwenye social forums, nahitaji kukufanyia counselling, nikukute PM otherwise kikao cha Wanaume kitakuzuia kuhudhuria vikao vyake kwa muda usiofahamika
 
Nikianza na hapa mkuu uliposema

"Wakuu mnisamehe Sana make ndo nimegundua mwanamke hapendwi"

Hivi kweli hiyo sentensi yako ya mwisho umemaanisha au ni hasira tu!

Nakukumbusha tu hata huyo mzazi wako ambae si baba yako nae ni mwanamke, je nae humpendi??
Hawa wanawake wanatokea kutuvuruga sana mpaka tunahisi dunia yote imejazwa na MADEMU tu.
Kumbe kuna mama, shangazi, Dada na wengineo ambao huthubutu wewe km wewe kuwaita mademu.

Mkuu mtimizie huyo Mooren wako yale Mahitaji anayokuomba km ukiyompa zamani.

Pia utambue kibogoyo mvuta ugoro akiwa na pesa bado kwenye mapenzi ataambiwa mate yake yananukia kama chocolate. Tutafute pesa tu mkuu
"Pia utambue kibogoyo mvuta ugoro akiwa na pesa bado kwenye mapenzi ataambiwa mate yake yananukia kama chocolate. Tutafute pesa tu mkuu"
Nimeupenda sana huu msemo na kwa kifupi ndio ukweli wenyewe,wanaume tukiujua huu ukweli hautakuja kuumia tena.
Watu wengi huumizwa kwa kutojua huu ukweli huwa wanatumia nguvu nyingi kulinda penzi na mwisho wa siku wanapigwa chini wanakuja kuweweseka kama mtoa mada hapa.
 
Hii niliigundua mapema Sana
Pesa kwangu sio tatizo
Uhakika wa kula & kulala upo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom