mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ingelikuwa mimi ndio wewe ningemblock kabisa kwenye simu angehangaika mwezi mzima angehangaika mwezi mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yote nimeyafanya lakini hakuna nilichofanikiwaIngelikuwa mimi ndio wewe ningemblock kabisa kwenye simu angehangaika mwezi mzima angehangaika mwezi mzima
Dawa ya mwisho ni kuhama sehemu unayokaa kama umepanga,na kama hapo unapoishi ni mji wako mwenyewe unamuolea mke akija anakuta mwenzake ametangulia.
HapanaDawa ya mwisho ni kuhama sehemu unayokaa kama umepanga,na kama hapo unapoishi ni mji wako mwenyewe unamuolea mke akija anakuta mwenzake ametangulia.
Kwani mlijitambulisha kwa wazazi?ndugu zake wanakufahamu?
Ishu nyepesi sana hiyo kwa watu makauzu sema tu unamrembea sana
Amenifanya nitamani kurudi nilikotokaIshu nyepesi sana hiyo kwa watu makauzu sema tu unamrembea sana
Umri wangu Ni 24-28No hiyo sio solution ila inategemea pia umri wako ni miaka mingapi na unategemea kuanzisha familia serious ukiwa na miaka mingapi
Kumbe bado haujakomaa maana yake kama una miaka 24 mabinti ambao unadate navyo ni wa miaka 22 hadi 18 hapo hakuna ndoa ni kuchezeana picha za kihindi tu.
Pole Mkuu cha msingi usikate tamaa kwenye mahusiano pia usifanye hit and run ,Muda ndo utakupa majibu sahihi .
No 24 nimevuka mkuuKumbe bado haujakomaa maana yake kama una miaka 24 mabinti ambao unadate navyo ni wa miaka 22 hadi 18 hapo hakuna ndoa ni kuchezeana picha za kihindi tu.
Ukifika miaka 28 tafuta binti mtulivu na aliyepevuka akili ya kiutuuzima mwenye miaka angalau 25.
Au kama utampata girlfriend ambaye utakuwa naye kwa kipindi kirefu huku mkisomana tabia lakini usigharamie sana maana ukiachwa utakuwa unakuja kulalamika hapa
Na huyo demu aliyekukimbia ana umri gani