Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

#ISHINI NAOO.KWA AKILI.
UNAHISI YALIANDIKWA.MANENO HAYA KWA MWANAUMEE.EEH..MAANDIKO HAYO.MKUU

#USISHINDANE NA MPUMBAVU USIJEFANANA NAE NALO ANDIKO MKUU

PUNGUZA HASIRA HASIRA HULETA HASARA MKUU

HAPA TBOVU NILIPOAMIA 2017 KUNA KIJANA HANDSOME AMEACHIWA JUMBA KUBWA LA URITHI MAGARI MAWILI YE NA.MDOGO WAKE

TULI ENJOY SANA GDTYM AKIWA TRA.ALIPOOA MIEZI NANE JAMÀ.ALIANZA KUTEMBEA ANAONGEA MWENYEWE

ANA KILA KITU ANA HELA AMEACHIWA BIASHARA ZA MAANA AMEENDA SHULE NANKAZI NZURI......

SIKU NAPIGIWA WAMEMFUNGA MIKONO WANAMPELEKA WODI YA VICHAA MIHIMBILI NDIPOMDOGOMTU AKAFICHUA MATATIZO YA KAKA NA MKEWE

MKUU TOKA HAPO NILISEMA KUMBE HAYAYANGU N MADOGO BADO NAJIHISI KUDATA HUYU KAAMUA KWENDA SKTRY KABISA

Namaanishaa lindaasanasanaa moyowako KULIKO VITU vyovyote ulimwenguni

Moyoukibeba hasira hutengeneza MENGI...huyu JIRAN mpaka kadata mns ALIKUWA na mengi MOYONI.....

Binafsi KUNA mamboo yanauma nimejifunza nkishindwa vumilia ma.hamna SOLN BASI HUWA naenda moshi ama Morogoro ama znz nazima na simu kabisa na enjoy nageuka home ....pembeni WAPE wahusika wahotel.ama.lodge nambayakuwasiliana kama.kutakuwa na emergency ikikutokea MAANA.ma hizi password mpaka zifunguke ushamwona Israel

lindeni mioyo.YENU MAISHA n.MARAMOJA. ishi kwa amani na upendo
Kusoma hapa inabidi utumie na magadi kabisa, didy kama didy!
 
Nilivoanzisha mahusiano na wewe nilikupenda Sana.
Nilikuona ni mwanamke uliejielewa kumbe ulikua unapretend .

Hivi kweli wewe Ni wa kunivungia kiasi hiki mpaka unaniambia unajiskia kichefuchefu nikikukumbatia! Eti kisa spray yangu inanunikia vibaya! Mbona haikua hivyo mwanzo?.

Hata kiss imekua Kama almasi!!!! Pumbavu sana.

Imekua kila ninachokwambia unajibu "NO" Tena bila maelezo yoyote.

Ni Mara ngapi nakusaidia wewe?.

Saiv unavunga ubabe au kisa unatoka mbeya! Ni vile tu siwezi kuitumia karate yangu kumpiga mwanamke ila ningekufua.

Nimekuandalia tukio litakalokuliza siku nzima make dawa ya mwanamke Ni mwanamke .

Wakuu mnisamehe Sana make ndo nimegundua mwanamke hapendwi.





Mara


Sent using Jamii Forums mobile app
Man ww fanya kama wajumbe. Kata supply ya huduma.. usimpe pesa yoyote. Kata supply ya shobo. Naww endelea na maisha yako.
Atajishtukia huko alipo.

Hakuna muda wa kipoteza kwa mwanamke asikusaidia lolote.
 
Hakuna kamba mkuu ngoja yakukute
Saikolojia inaniambia bado unampenda moreen, we tulia jipange vizuri unaweza kuta ukaoa huyo huyo, mapenzi ni ujinga ujinga tu, hakuna usiriaz mkuu, leo utalalama kesho unakuwa wa kwanza kumpigia, vuta stoney tangawizi kunywa alafu tulia!
 
Saikolojia inaniambia bado unampenda moreen, we tulia jipange vizuri unaweza kuta ukaoa huyo huyo, mapenzi ni ujinga ujinga tu, hakuna usiriaz mkuu, leo utalalama kesho unakuwa wa kwanza kumpigia, vuta stoney tangawizi kunywa alafu tulia!
Huyu mwanamke kanifanya niwe muumini wa sad songs.
 
Back
Top Bottom