mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hii niliigundua mapema Sana
Pesa kwangu sio tatizo
Uhakika wa kula & kulala upo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelewa mkuuPata nyagi, pata pesa, maisha yaendelee! Acha kulumbana na wanawake kwenye mitandao, you won't win the battle! Watakuja kumtetea Maureen Unique Flower na Wajuba wataruka nae live live
Mwanzo nilikuwa play SanaKama pesa ulitafuta na unazo unakwama wapi ndugu?mbona wanawake wakijua una pesa wanajitongozesha wenyewe tu tena wa viwango vyote huyo anayekusumbua ana nini cha maana?
huyo alikuwa ni mke ama?Mwanzo nilikuwa play Sana
Ni ile nikaamua kuacha na kumtafuta mmoja nione tabia yake ili nimuweke ndani
Matokeo yake ndo haya mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema umempa kila kitu, kama sijakosea kusoma, ana haki kukuganda wakati wewe ilikua "hit and run" binti kachonga mzinga. Siku moja binti yako akifanyiwa haya usikasirikeNimeelewa mkuu
Ila ajifunze
Kwanini anigande kila nikijaribu kuwa mbali nae??.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio mkehuyo alikuwa ni mke ama?
MkuuUmesema umempa kila kitu, kama sijakosea kusoma, ana haki kukuganda wakati wewe ilikua "hit and run" binti kachonga mzinga. Siku moja binti yako akifanyiwa haya usikasirike
Mkuu pesa sio kila kitu.
Hapana sio mke
Ila Ni mtu niliemuona Kama anafaa kuwa mke ila ndo yamenikuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijamanisha pesa tu mkuuMkuu pesa sio kila kitu.
Kwahiyo uliposema umempa kila kitu ulimaanisha pesa??
Tatizo la huyu mwanamkeKama kaondoka yeye na shimo lake tu sioni tatizo labda kama amekimbia na pesa zako au assets zako.
Tafuta mwingine weka ndani,lakini safari hii utulize kichwa inaonekana ulikosea strategy za kumpata mke.
Usije ukajiroga umekutana na mwanamke club halafu ukamchukua aje kuwa mkeo.
Tuliza kichwa ukikurupuka utakuja upate majanga mazito zaidi ya hilo
OkSijamanisha pesa tu mkuu
Kila kitu unachokijua wewe kwenye mapenzi nilimpa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio udhaifu wako sasa na anautumia huo kukuumiza.Tatizo la huyu mwanamke
Ni kila nikiamua kumpotezea anakuja kwangu kutia huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba yasikukute mkuuSasa mambo ya Deodorant yametoka twitter yamefika huku jamani!
Nilivoanzisha mahusiano na wewe nilikupenda Sana.
Nilikuona ni mwanamke uliejielewa kumbe ulikua unapretend .
Hivi kweli wewe Ni wa kunivungia kiasi hiki mpaka unaniambia unajiskia kichefuchefu nikikukumbatia! Eti kisa spray yangu inanunikia vibaya! Mbona haikua hivyo mwanzo?.
Hata kiss imekua Kama almasi!!!! Pumbavu sana.
Imekua kila ninachokwambia unajibu "NO" Tena bila maelezo yoyote.
Ni Mara ngapi nakusaidia wewe?.
Saiv unavunga ubabe au kisa unatoka mbeya! Ni vile tu siwezi kuitumia karate yangu kumpiga mwanamke ila ningekufua.
Nimekuandalia tukio litakalokuliza siku nzima make dawa ya mwanamke Ni mwanamke .
Wakuu mnisamehe Sana make ndo nimegundua mwanamke hapendwi.
Mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah inawezekana mkuuHuo ndio udhaifu wako sasa na anautumia huo kukuumiza.
Hana wasiwasi anajua huna uwezo wa kumchenjia na anajiamini kwa asilimia 100 akikutaka muda wowote huwezi kuruka.
Anakufanya wewe kama jeshi la akiba,huko anakoenda kuzurula na wanaume wengine pakibuma anarudi kwako ndio kama kambi.
Asante kwa ushauri mkuu#ISHINI NAOO.KWA AKILI.
UNAHISI YALIANDIKWA.MANENO HAYA KWA MWANAUMEE.EEH..MAANDIKO HAYO.MKUU
#USISHINDANE NA MPUMBAVU USIJEFANANA NAE NALO ANDIKO MKUU
PUNGUZA HASIRA HASIRA HULETA HASARA MKUU
HAPA TBOVU NILIPOAMIA 2017 KUNA KIJANA HANDSOME AMEACHIWA JUMBA KUBWA LA URITHI MAGARI MAWILI YE NA.MDOGO WAKE
TULI ENJOY SANA GDTYM AKIWA TRA.ALIPOOA MIEZI NANE JAMÀ.ALIANZA KUTEMBEA ANAONGEA MWENYEWE
ANA KILA KITU ANA HELA AMEACHIWA BIASHARA ZA MAANA AMEENDA SHULE NANKAZI NZURI......
SIKU NAPIGIWA WAMEMFUNGA MIKONO WANAMPELEKA WODI YA VICHAA MIHIMBILI NDIPOMDOGOMTU AKAFICHUA MATATIZO YA KAKA NA MKEWE
MKUU TOKA HAPO NILISEMA KUMBE HAYAYANGU N MADOGO BADO NAJIHISI KUDATA HUYU KAAMUA KWENDA SKTRY KABISA
Namaanishaa lindaasanasanaa moyowako KULIKO VITU vyovyote ulimwenguni
Moyoukibeba hasira hutengeneza MENGI...huyu JIRAN mpaka kadata mns ALIKUWA na mengi MOYONI.....
Binafsi KUNA mamboo yanauma nimejifunza nkishindwa vumilia ma.hamna SOLN BASI HUWA naenda moshi ama Morogoro ama znz nazima na simu kabisa na enjoy nageuka home ....pembeni WAPE wahusika wahotel.ama.lodge nambayakuwasiliana kama.kutakuwa na emergency ikikutokea MAANA.ma hizi password mpaka zifunguke ushamwona Israel
lindeni mioyo.YENU MAISHA n.MARAMOJA. ishi kwa amani na upendo