Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

Before alikua anaisifia Sana spray yangu
Mkuu pole sana, huo ndo upande wa pili mapenzi yanapogeuka. Yote aliyokuwa anayapenda yanageuka kuwa anayoyachukia.
Kuna jamaa yangu alikuwa anasifiwa ana nywele za kishombe shombe mixa anaitwa msomali wangu mambo yalivobadilika akaambiwa ana manywele kama li paka pori
 

Jamani eti kisa anatoka Mbeya[emoji23][emoji23]
 
Bestyy kweli kuna watu wanawapa mapenzi wao kila kitu?
Mbona mimi sikutani nao jamani?
Bestyyyy huyu katudanganya!

Na halahala usidanganyike, hiyo inakuwa ni kauli tu. Katika uhalisia wake huo hatuwapi kila kitu maana kila kitu hakipo.

Halafu kuhusu kukutana nao hao watu bestyyyy inahitaji mjadala hahahaahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…