Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bestyy hakikisha hizo sifa za mke bora unazichongaa na kuzilazimisha kwa nguvu zote ziendane na zangu na mimi nipewe kila kitu.
Yaani kama upo mawazoni mwangu bestyyyy.

Wewe ulivyo mke bora unafaa kabisa kuwa kigezo. Nimemuuliza hapa ana shing'ngapi hajajibu
 
Bestyyyy huyu katudanganya!

Na halahala usidanganyike, hiyo inakuwa ni kauli tu. Katika uhalisia wake huo hatuwapi kila kitu maana kila kitu hakipo.

Halafu kuhusu kukutana nao hao watu bestyyyy inahitaji mjadala hahahaahahahah
Kwahiyo mtoa mada anatutishia bestyy๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Niliogopa nikahisi ni mimi pekee yangu nitakufa kabla sijapewa kila kitu.
 
Kwahiyo mtoa mada anatutishia bestyy๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Niliogopa nikahisi ni mimi pekee yangu nitakufa kabla sijapewa kila kitu.
Tena asikutishie kabisaaaa hahahahahahaha.

Maana wala hajui na hana idea kwamba yaliyomo yamo
 
[emoji23][emoji23]
 
Yaani kama upo mawazoni mwangu bestyyyy.

Wewe ulivyo mke bora unafaa kabisa kuwa kigezo. Nimemuuliza hapa ana shing'ngapi hajajibu
Atajibu best, amesema kwake hela sio tatizo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Asante bestyy kwa kunijali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ