kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Nilivoanzisha mahusiano na wewe nilikupenda Sana. Nilikuona ni mwanamke uliejielewa kumbe ulikua unapretend .
Hivi kweli wewe Ni wa kunivungia kiasi hiki mpaka unaniambia unajiskia kichefuchefu nikikukumbatia! Eti kisa spray yangu inanunikia vibaya! Mbona haikua hivyo mwanzo?.
Hata kiss imekua Kama almasi!!!!
Imekua kila ninachokwambia unajibu "NO" Tena bila maelezo yoyote.
Ni Mara ngapi nakusaidia wewe?.
Saiv unavunga ubabe au kisa unatoka mbeya! Ni vile tu siwezi kuitumia karate yangu kumpiga mwanamke ila ningekufua.
Nimekuandalia tukio litakalokuliza siku nzima make dawa ya mwanamke Ni mwanamke .
Wakuu mnisamehe Sana make ndo nimegundua mwanamke hapendwi.