Moro: Ajiua kutokana na stress za ugumu wa maisha

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Nungu Nassoro (25), Mfanyabiashara na Mkazi wa Kata ya Lukobe, Wilaya na Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani kwenye mti wa mwembe uliopo kwenye makazi yake huku Polisi wakisema chanzo cha kujiondoa uhai wake ni msongo wa mawazo unaotokana na ugumu wa maisha.

Taarifa iliyotolewa leo March 02,2025 na Kamanda wa Polisi Morogoro imesema “Tukio hili limebainika mapema jana March 01, 2025 katika Mtaa na Kata ya Lukobe, Manispaa ya Morogoro”

“Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo kujiondoa uhai ni msongo wa mawazo unaotokana na ugumu wa maisha, maiti imekabidhiwa kwa Ndugu wa marehemu baada ya kukamilisha uchunguzi wa
maiti hiyo”
 
VITA YA UZAO WA KIUME SIO MCHEZO!

Unakuta Life is Tough, Hakuna Mishe
Hapo hapo, Una watoto! Wanakutegemea!
Hapo hapo, una Mke Anakudharau Kwa kuwa Umepigika Ki maisha!

Changanya na Hali ya Hewa Mfano hili Joto la Dar .... WANAUME MUNGU ATULINDE
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Nungu Nassoro (25), Mfanyabiashara na Mkazi wa Kata ya Lukobe, Wilaya na Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani kwenye mti wa mwembe uliopo kwenye makazi yake huku Polisi wakisema chanzo cha kujiondoa uhai wake ni msongo wa mawazo unaotokana na ugumu wa maisha.

Taarifa iliyotolewa leo March 02,2025 na Kamanda wa Polisi Morogoro imesema “Tukio hili limebainika mapema jana March 01, 2025 katika Mtaa na Kata ya Lukobe, Manispaa ya Morogoro”

“Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo kujiondoa uhai ni msongo wa mawazo unaotokana na ugumu wa maisha, maiti imekabidhiwa kwa Ndugu wa marehemu baada ya kukamilisha uchunguzi wa
maiti hiyo”
Taarifa kama hizi si njema sanaa ndani ya Taifa letu, lilibarikiwa rasilimali kedekede na baraka ya amani tuliyonayo. Tunao viongozi wa kiimani, maafisa ustawi wa jamii, viongozi wa serikali za mitaa, ndugu, jamaa na marafiki. Kwanini haya yote yanatokea? Ni wapi Taifa linaelekea? Pengine huko nyuma yalikuwepo lakini je ni kwa kiwango hiki au? Labda ni kwa sababu ya uwepo wa teknolojia inasaidia kufichua matukio kama haya! Mimi sijui lakini Nasaha yangu ni hii Watanzania TUPENDANE si kwa maneno tuu bali kwa vitendo. Huyu mtu mpaka amefikia hatua hii maana yake pengine alikosa mtu wa kumsikiliza! Inaumiza sanaa.
 
Cc Lucas
 
Bongo mtu anakufaa kwa njaa siku ya msiba wake watu wanakula na kusaza mapilau na nyama..
 
Shida nyingi tu,hata hapo mbona imetajwa,ugumu wa maisha,tatizo jamii inamuona mwanaume kama Starring wa muvi kwamba hapasi kushindwa kitu ambacho si kweli,kwahio anapopambana na magumu hata akiyasema anaishia kudhihakiwa badala ya kutiwa moyo
Huu ugumu wa maisha si upo kwa wote jamani!!
 
Back
Top Bottom