Moro: Ajiua kutokana na stress za ugumu wa maisha

Moro: Ajiua kutokana na stress za ugumu wa maisha

Hivi huwa mnaamini kabisa asilimia 100 kuwa hawa watu wamejinyonga? Huwa hawa polisi wanafanya investigations (forensic investigations) kugundua kama kuna foul play au huwa wanauliza tu majirani wanaambiwa jamaa alikuwa na msongo wa mawazo!!
 
inategemeana ugumu wa maisha kwako unautafsiri vipi kuna mwingine mlo mmoja tu kwa siku ni changamoto wakati wewe gari uliyonayo huipendi unataka ubadilishee!
I meant kwa jinsi zote.
 
Wanaume mko na shida gani!! Why mnajiua sana!
Shukuru Mungu you have that thing to which you convert into monies, sie hatuna na niwachache mno wanaweza tumia the back thing. Nadhan unanielewa
 
Shukuru Mungu you have that thing to which you convert into monies, sie hatuna na niwachache mno wanaweza tumia the back thing. Nadhan unanielewa
😳😳😳😳😳
Mentality ya ajabu sana hii!
 
Shukuru Mungu you have that thing to which you convert into monies, sie hatuna na niwachache mno wanaweza tumia the back thing. Nadhan unanielewa
😀😀😀Huo ndo ukweli yeye ana bidhaa anauza na kuondoka nayo na unaitajika daily .ila men n mateso.
 
Usisahau hata bibilia imesema bora kuishi juu ya dari au jangwani kuliko kuishi na mwanamke mkorofi ndani.

Kwahyo huo udhaifu wa kuwakimbia nyie huwa ni automatically tu kama kutoa mguu ghafla unapokanyaga mwiba.
Hebu tulieni tupambane wote, msikimbie majuku
 
Usisahau hata bibilia imesema bora kuishi juu ya dari au jangwani kuliko kuishi na mwanamke mkorofi ndani.

Kwahyo huo udhaifu wa kuwakimbia nyie huwa ni automatically tu kama kutoa mguu ghafla unapokanyaga mwiba.
Mwanamke anakuwaje mkorofi!! Huyo mwandishi alikuwa kataa ndoa, akatafuta kisingizio.
 
Bongo mtu anakufaa kwa njaa siku ya msiba wake watu wanakula na kusaza mapilau na nyama..
Nitajie au weka picha msiba ambao watu wamesaza pilau na nyama. Njaa ipo.
 
Nitajie au weka picha msiba ambao watu wamesaza pilau na nyama. Njaa ipo.
Pilau nyama kama kiwakilishi ila ipo mingi panapikwa wali na maharage ya kusaza halafu njaa kwa marehemu ilikuwepo.
 
Mwanamke anakuwaje mkorofi!! Huyo mwandishi alikuwa kataa ndoa, akatafuta kisingizio.
Sasa kama hamuamin kitabu chenye kuhalalisha hiyo ndoa unadhan hiyo sio zaidi ya ukorofi??
 
Alikosa tu ushauri, kuna wenye hali ngumu kuliko yeye ila wanaishi bila kukata tamaa.

Screenshot_20250305-133701_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom