Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
inategemeana ugumu wa maisha kwako unautafsiri vipi kuna mwingine mlo mmoja tu kwa siku ni changamoto wakati wewe gari uliyonayo huipendi unataka ubadilishee!Huu ugumu wa maisha si upo kwa wote jamani!!
Huwa Wanapiga Ramli chonganishi!Hivi huwa mnaamini kabisa asilimia 100 kuwa hawa watu wamejinyonga? Huwa hawa polisi wanafanya investigations (forensic investigations) kugundua kama kuna foul play au huwa wanauliza tu majirani wanaambiwa jamaa alikuwa na msongo wa mawazo!!
We Atoto(mtoto) hata ukiambiwa huwez kuelewa.Wanaume mko na shida gani!! Why mnajiua sana!
I meant kwa jinsi zote.inategemeana ugumu wa maisha kwako unautafsiri vipi kuna mwingine mlo mmoja tu kwa siku ni changamoto wakati wewe gari uliyonayo huipendi unataka ubadilishee!
Hebu tulieni tupambane wote, msikimbie majukumu.We Atoto(mtoto) hata ukiambiwa huwez kuelewa.
Shukuru Mungu you have that thing to which you convert into monies, sie hatuna na niwachache mno wanaweza tumia the back thing. Nadhan unanielewaWanaume mko na shida gani!! Why mnajiua sana!
😳😳😳😳😳Shukuru Mungu you have that thing to which you convert into monies, sie hatuna na niwachache mno wanaweza tumia the back thing. Nadhan unanielewa
😀😀😀Huo ndo ukweli yeye ana bidhaa anauza na kuondoka nayo na unaitajika daily .ila men n mateso.Shukuru Mungu you have that thing to which you convert into monies, sie hatuna na niwachache mno wanaweza tumia the back thing. Nadhan unanielewa
Jamii imewabenesha mjakumu mengi n wanapofeli huwantooshea vidoleWanaume mko na shida gani!! Why mnajiua sana!
Hebu tulieni tupambane wote, msikimbie majuku
Na kwanini ushindwe! Usikubali kushindwa.Jamii imewabenesha mjakumu mengi n wanapofeli huwantooshea vidole
Mwanamke anakuwaje mkorofi!! Huyo mwandishi alikuwa kataa ndoa, akatafuta kisingizio.Usisahau hata bibilia imesema bora kuishi juu ya dari au jangwani kuliko kuishi na mwanamke mkorofi ndani.
Kwahyo huo udhaifu wa kuwakimbia nyie huwa ni automatically tu kama kutoa mguu ghafla unapokanyaga mwiba.
Nitajie au weka picha msiba ambao watu wamesaza pilau na nyama. Njaa ipo.Bongo mtu anakufaa kwa njaa siku ya msiba wake watu wanakula na kusaza mapilau na nyama..
Pilau nyama kama kiwakilishi ila ipo mingi panapikwa wali na maharage ya kusaza halafu njaa kwa marehemu ilikuwepo.Nitajie au weka picha msiba ambao watu wamesaza pilau na nyama. Njaa ipo.
Sasa kama hamuamin kitabu chenye kuhalalisha hiyo ndoa unadhan hiyo sio zaidi ya ukorofi??Mwanamke anakuwaje mkorofi!! Huyo mwandishi alikuwa kataa ndoa, akatafuta kisingizio.
Alikosa tu ushauri, kuna wenye hali ngumu kuliko yeye ila wanaishi bila kukata tamaa.
Level zinatofautiana. Lakini pia uwezo wa kuhimili hayo magumu unatofautiana pia.Huu ugumu wa maisha si upo kwa wote jamani!!
Mpaka uwe na mataraji ila mtu akikosa matarajio ,bora kufa kwa amani.Huu ugumu wa maisha si upo kwa wote jamani!!