Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Bandugu, kwa wale mliobahatika kutazama mechi ya magiants wa afrika (FIFA ARAB CUP), kati ya Morocco and Algeria ilipigwa tarehe 11/12/2021 mutakuwa mmeenjoy sana sana 😀 pira limepigwa acha kabisaa, nina uhakika hawa magiants + Pharaoh watafika mbali mno nchini Qatar/World Cup, na watatuwakilisha vyema. Pira wanalopiga bandugu hata timu za ulaya or America ya kusini n.k watapata shidda, wakijichanganya wanapotezwa few minutes.
Algeria🔥🔥🔥
Morocco🔥🔥🔥
Egypt🔥🔥🔥
Matokeo yalikuwa, Algeria alimuondosha Morocco na kutinga semi final Egypt alimuondosha Jordan na kutinga semi final
Bandugu, ni hayo tu.
Algeria🔥🔥🔥
Morocco🔥🔥🔥
Egypt🔥🔥🔥
Matokeo yalikuwa, Algeria alimuondosha Morocco na kutinga semi final Egypt alimuondosha Jordan na kutinga semi final
Bandugu, ni hayo tu.