Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Ni mashindano yanayo jumuisha nchi zote za Kiarabu mkuu,Nipe muongozo/ufafanuzi kuhusu Arab Cup mkuu
Pia yana baraka za FIFA?Ni mashindano ya nchi zote za Kiarabu mkuu.
Sina uhakika na hilo,ila kama yanaitwa Fifa Arab Cup, inawezekana kabisa yakawa na baraka za FIFAPia yana baraka za FIFA?
Pia yana baraka za FIFA?
Watawakilisha bara la Africa.Hao watawakilisha nchi zao, sisi wawakilishi wetu walikuwa ni Taifa Stars na waliishaaga mashindano kama kawaida, kusema waarabu watuwakilishe ni siasa za kishamba sana.
Hao watawakilisha nchi zao, sisi wawakilishi wetu walikuwa ni Taifa Stars na waliishaaga mashindano kama kawaida, kusema waarabu watuwakilishe ni siasa za kishamba sana.
Kuna timu yoyote ya kiarabu iliyowahi kufika hata robo fainali ya kombe la dunia au wewe unaongea tu wakati haya mashindano umeanza kuyafuatilia miaka minne iliyopita.Soka la afrika linapendeza na kuonekana na hadhi kutokana na timu za kiarabu kufanya vyema mkuu, wacpowepo hao magiants watatu+Tunisia unadhani nani atakuwa na habari ya kufuatilia soka la afrika!! Hawa ndiyo wana2fanya wengine tufuatilie.
So, Wataliwakilisha bara la afrika.
Africa itabaki kuwa africa tu linapokuja suala la kombe la dunia.....full stopBandugu, kwa wale mliobahatika kutazama mechi ya magiants wa afrika (FIFA ARAB CUP), kati ya Morocco and Algeria ilipigwa tarehe 11/12/2021 mutakuwa mmeenjoy sana sana 😀 pira limepigwa acha kabisaa, nina uhakika hawa magiants + Pharaoh watafika mbali mno nchini Qatar/World Cup, na watatuwakilisha vyema. Pira wanalopiga bandugu hata timu za ulaya or America ya kusini n.k watapata shidda, wakijichanganya wanapotezwa few minutes.
Algeria🔥🔥🔥
Morocco🔥🔥🔥
Egypt🔥🔥🔥
Matokeo yalikuwa, Algeria alimuondosha Morocco na kutinga semi final Egypt alimuondosha Jordan na kutinga semi final
Bandugu, ni hayo tu.
Wanawakilisha nchi zao na wakichukua kombe wanapeleka nchini mwao.Watawakilisha bara la Africa.
Halafu unaweza kukuta hapo unashabikia Brazil au England utafikiri zenyewe ndio zinakuhusu karibu zaidi kuliko team zinazotoka kwenye bara lako!Wanawakilisha nchi zao na wakichukua kombe wanapeleka nchini mwao.
Halafu unaweza kukuta hapo unashabikia Brazil au England utafikiri zenyewe ndio zinakuhusu karibu zaidi kuliko team zinazotoka kwenye bara lako!
Kuna timu yoyote ya kiarabu iliyowahi kufika hata robo fainali ya kombe la dunia au wewe unaongea tu wakati haya mashindano umeanza kuyafuatilia miaka minne iliyopita.
Wewe unajua maana ya ushabiki lakini, mtu yuko Musoma, Bukoba au Songea lakini anashabikia Simba/Yanga ambao wako mbali kabisa Dar es salaam na anaacha timu iliyopo katika mji alipo.Halafu unaweza kukuta hapo unashabikia Brazil au England utafikiri zenyewe ndio zinakuhusu karibu zaidi kuliko team zinazotoka kwenye bara lako!
Ikitokea wamepangwa wao kwa wao manake watapunguzana kabla hawajafika qatarWatawakilisha bara la Africa.
Watapunguzana kivipi? Idadi ya team kutoka Africa ni ile ile,haijalishi nani kaenda au nani katolewa.Ikitokea wamepangwa wao kwa wao manake watapunguzana kabla hawajafika qatar
Mkuu africa bado haijaoata wawakilishi wa WC ya Qatar, timu zimebaki kumi wakiwemo hao uliowataja sasa hizo timu kumi zitakutanishwa ili zibaki tano sasa ikitokea misri kapangwa na algeria zat mins ataenda mmoja wao atakaepata wastani mzuri wa magoli katika hizo mechi mbili watakazokutanaWatapunguzana kivipi? Idadi ya team kutoka Africa ni ile ile,haijalishi nani kaenda au nani katolewa.