Morocco - Algeria and Egypt, wenye mpira wao

Ikitokea wamepangwa wao kwa wao manake watapunguzana kabla hawajafika qatar

hio itakua ni hasara kwetu, mana hizo timu 4 ndizo zenye uwezo wa kutuwakilisha vizuri.
Hata zinapotoka makunduni badu hutoka kishujaa wakionesha kandanda safi kabisa
 
Wakiwemo hao niliowataja?

Kina nani hao niliowataja mimi?

Mimi naongelea team zitakazo liwakilisha bara la Africa,haijalishi nani kapanda,Africa inatakiwa izisapoti team zitakazoliwakilisha bara zima,sijataja team yeyote mimi.
 
Tatizo la wengine wanasumbuliwa na ubaguzi. Kisa timu za kiarabu zinawafanya wasizipe sapoti. Ni upumbafu wa hali yajuu. Wao kama wanakereka wakereke na ikibidi wajinyinge, tuko cc hapa 2nasapoti na kushabikia ma giants hawa 2naowategemea wataliwakilisha bara zima.
 
Wakiwemo hao niliowataja?

Kina nani hao niliowataja mimi?

Mimi naongelea team zitakazo liwakilisha bara la Africa,haijalishi nani kapanda,Africa inatakiwa izisapoti team zitakazoliwakilisha bara zima,sijataja team yeyote mimi.
Sorry nilihisi wewe ndio mtoa mada, mtoa mada kawataja moroco, algeria na misri ndiomaana nikasema ikitokea misri kapangwa na algeria maanayake ataenda mmoja wao
 
Mkuu nahisi mmenielewa vibaya, mimi kama muafrika nitasapoti muafrika yeyote atakaefika qatar, nilichosema mimi afrika bado hatujajua nani atatuwakilisha kwakuwa bado kuna mtoano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…