Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Derby ya Uhispania ilikuwa Real Madrid an Atletical Madrid, make zote ni za Jiji la Madrid, Barcelona na Real Madrid ni wana upinzanzani tu ila sio wa jadi, ni kama Italy wapinzani ni Intermilan na Ac Millan hawa ndio wapinzani wa Jadi![]()
Kwa haraka haraka huwa nasikia hizi timu mbili ndio kama Real Madrid na Barcelona za huko Morocco,
Kwa wale mnaofuatilia soka na kubahatika kuweza kujua ubora wa hizi timu tunaombeni mtumegee uzoefu wenu.
Derby ya jana wametoka 2-2 kwenye ligi Raja point 34 Wydad point 43 maana yake Raja kazidiwa point 9, goal difference Raja 25 Wydad 30. Hizo Statistics ulizopitia kwa sasa ukaona Raja ni bora kuliko Wydad ni zipi?Kwangu mimi nimepitia statistics zao kwa sasa Raja ni bora kuliko Waydad hata klabu bingwa heri ukutane na Waydad kuliko Raja.
Hata hii Derby yao Raja atashinda. Ana mpira wa kasi na kila kosa la mpinzani wao wanahesabu ni goli.
Wanajifariji baada ya kupangiwa na wydadDerby ya jana wametoka 2-2 kwenye ligi Raja point 34 Wydad point 43 maana yake Raja kazidiwa point 9, goal difference Raja 25 Wydad 30. Hizo Statistics ulizopitia kwa sasa ukaona Raja ni bora kuliko Wydad ni zipi?
Kama Yanga mnavyoongoza kwa point nyingi ila Simba ni next levelDerby ya jana wametoka 2-2 kwenye ligi Raja point 34 Wydad point 43 maana yake Raja kazidiwa point 9, goal difference Raja 25 Wydad 30. Hizo Statistics ulizopitia kwa sasa ukaona Raja ni bora kuliko Wydad ni zipi?
kama ni kuongoza ligi, hata huku Bongo inayoongoza ni Yanga, lakini ilitolewa ipo shirikisho 😁... maana yake Raja kazidiwa point 9, goal difference Raja 25 Wydad 30.
Unaongea uku ukiwa na hofuSIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.
1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.
Atakuwa widad????
Ni kama yanga na simba ya sasa..![]()
Kwa haraka haraka huwa nasikia hizi timu mbili ndio kama Real Madrid na Barcelona za huko Morocco,
Kwa wale mnaofuatilia soka na kubahatika kuweza kujua ubora wa hizi timu tunaombeni mtumegee uzoefu wenu.
Mechi yao ya jana ya wenyewe kwa wenyewe uliangalia?Nimeangalia mechi zao za makundi naona Raja ana mpira wa kadi sana unaochanganya mpinzani. Waydad ni wazuri lakini mpira wao siyo wa kasi tutapambana nao
Ukiachana na ulichokitaja hapo raja wanasoka la kasi zaid na kiufundi kuliko wydad.Derby ya jana wametoka 2-2 kwenye ligi Raja point 34 Wydad point 43 maana yake Raja kazidiwa point 9, goal difference Raja 25 Wydad 30. Hizo Statistics ulizopitia kwa sasa ukaona Raja ni bora kuliko Wydad ni zipi?
Ni kweli raja wapo vizur kiufund kuliko wydad, achana statics hizo za msimamo wa ligi.Wanajifariji baada ya kupangiwa na wydad
Unamlinganisha zamalek mchovu na wydad?SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.
1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.
Atakuwa widad????