Wydad ni habari nyingine kabisa kwanza team Yao iko compact kinyama na wanajua sana kucheza game zote home and away na kwa Sasa ndio picha ya mpira wa Morroco
Wydad ni mabingwa watetezi wa hili kombe ukumbuke...
Ndio maana halisi ya LIGI YA MABINGWA huwezi kuwa bingwa mpaka umfunge bingwa sasa kule Luzaz sijui inakuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]