Ndio maana wanatukana kwa sababu watu weusi tumejaa upumbavu ndani ya vichwa vyetu,na ukitaka kujua upumbavu wa ngozi nyeusi rudia kusoma ulicho kiandika.
Hizo baraka zenu mbona hazi kuiwezesha Comeroon,Ghana,na Senegal weusi wenzako kufika hatua aliyo fika Morocco?
Au hizo baraka zenu mbona hazijaisaidia nchi yako angalau kufika hata robo fainal ya mashindano madogo tu ya ya chan?
Yaani unaona ajabu waarabu kuukana uafrika lakini huoni ajabu weusi wenzio kuikana Afrika na kuamuwa kuchezea mataifa ya wazungu?
Morocco imefika ilipo fika kwa uwezo wake na si kwa dua wala baraka za mtu yeyote.
Na kufungwa imefungwa kwa zilivyo fungwa timu nyingine hakuna cha laana wala nn tuache mawazo mgando.