Morocco hata baraka zetu pia ni mchango, mmepiga hatua

Morocco hata baraka zetu pia ni mchango, mmepiga hatua

onjwayo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
1,356
Reaction score
1,309
Kilichowaponza Morocco ni kufuru, eti wao siyo waafrika ni waarabu. Mungu ameamua kuwaadhibu hivyo tu. Mlicheza vizuri mnooooo. Bahati mbaya zile kosa kosa 2 haikulalia kwenu vinginevyo mngeshinda na kuingia fainali.

20221215_073427.jpg
 
Ndio maana wanatukana kwa sababu watu weusi tumejaa upumbavu ndani ya vichwa vyetu,na ukitaka kujua upumbavu wa ngozi nyeusi rudia kusoma ulicho kiandika.

Hizo baraka zenu mbona hazi kuiwezesha Comeroon,Ghana,na Senegal weusi wenzako kufika hatua aliyo fika Morocco?

Au hizo baraka zenu mbona hazijaisaidia nchi yako angalau kufika hata robo fainal ya mashindano madogo tu ya ya chan?

Yaani unaona ajabu waarabu kuukana uafrika lakini huoni ajabu weusi wenzio kuikana Afrika na kuamuwa kuchezea mataifa ya wazungu?

Morocco imefika ilipo fika kwa uwezo wake na si kwa dua wala baraka za mtu yeyote.

Na kufungwa imefungwa kwa zilivyo fungwa timu nyingine hakuna cha laana wala nn tuache mawazo mgando.
 
Ukiambiwa uoneshe waliposema wao ni Waarabu sio Waafrika utaishia kuweweseka tu.
 
France wanapiga mpira aiseee. Mimi nilijua Morroco hawatoboi bila hata ya wao kuwa na Uarabu

Nimemsikikiza mzungu wa uk mtangazaji wa radio nae kasema Leo waarabu na nchi za kiislam watashangilia ila hakutaja Africa hilo nalo tukalitazame
Umeangalia mpira kweli ww jana.
 
Back
Top Bottom