Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora yamefungwaKilichowaponza Morocco ni kufuru, eti wao siyo waafrika ni waarabu. Mungu ameamua kuwaadhibu hivyo tu. Mlicheza vizuri mnooooo. Bahati mbaya zile kosa kosa 2 haikulalia kwenu vinginevyo mngeshinda na kuingia fainali.
Asavali wametoka.Kilichowaponza Morocco ni kufuru, eti wao siyo waafrika ni waarabu. Mungu ameamua kuwaadhibu hivyo tu. Mlicheza vizuri mnooooo. Bahati mbaya zile kosa kosa 2 haikulalia kwenu vinginevyo mngeshinda na kuingia fainali.
Umeangalia mpira kweli ww jana.France wanapiga mpira aiseee. Mimi nilijua Morroco hawatoboi bila hata ya wao kuwa na Uarabu
Nimemsikikiza mzungu wa uk mtangazaji wa radio nae kasema Leo waarabu na nchi za kiislam watashangilia ila hakutaja Africa hilo nalo tukalitazame