Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sema kwenye mechi ya marudiano tukaze. Morocco wanafungika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2875262
World cup Qualification 2013,jana walikua wanalipiza kisasi[emoji23][emoji23][emoji23]
razil wanachukua kombe la dunia hata hawamtajialafu wakishinda wcaptein anakwambia hii ni zawadi kwa mama, sijui mama kafanyaje!
Khaaa masaa mawili anaongea nao kitu gani? Hata mpirs wenyewe ni lisaa na nusu tu
Wahamasishaji, Aliyepiga simu na aliyewaongelesha masaa mawili, wengine hatuhusiki.Tumekandwa.
Bora mdomoni, Eti kikosi cha Hamasa, mara siju. simu ya mama, hizo simu si wangepigiwa watu wa Hanang kwenye mafuriko, yaani watu wanampotosha raisi wetu mpendwa, wanamchonganisha na wananchi.Kumekucha na stars!
Tuwape muda uenda wataelewa Mpira uwanjani na si mdomoni.
Yes, huku kwetu Songea ndio majina yetu, mimi nimeolewa huku .Hivi ndumbaro si ndo wanakotoka komba,nguruwe na ngonyani?🤣🤣
nadhani hujanizidi kwa kufurahia kufungwa kuleNimefurahi jana tumepigwa kipigo cha kutufunza adabu kama taifa, mpira ni uwekezaji sio hamasa za machawa. Next match Congo na Zambia wanatukanda pia turudi bila point.
Mie saivi nakula kadansee ofcn kwangu kama mjomba wangu chalamilanadhani hujanizidi kwa kufurahia kufungwa kule