Morocco na kocha wao hawajabahatisha, walijipanga

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Wakiwa Spain wanashangaa nini kilichotokea kwenye mechi yao dhidi ya Morocco baada ya kutolewa kwenye mikwaju ya penalty huku baadhi ya mashabiki na wadau wa soka nchini Spain wakilaumu kuachwa kwa wachezaji wazoefu kwenye kikosi hicho ndio chanzo cha wao kukwama kwenye hatua huku wakidai Thiago alcantara David de Gea pamoja na Sergio RAMOS walistahili kuwepo Qatar kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ila waswahili wanasema majuto ni mjukuu.

Ila lawama zote zimesababishwa na mwamba mmoja tu kutoka Africa nae si mwingine bali ni, WALID REGRAGUI ambaye ni kocha wa team ya taifa ya Morocco na mchezaji wa zamani wa team hiyo katika nafasi ya ulinzi mzaliwa wa ufaransa lakini ni raia wa MORROCO kwa sasa ana umri wa miaka 47 na amefanikiwa kuwa kocha wa kwanza mzawa kutoka Africa kuiongoza team yake kufika hatua ya robo fainali.

Huyu jamaa kufika hatua hiyo hajabaatisha kama wengi wanavyodhani au ile kasumba ya waafrika kwamba hatuwezi kila kitu ila huyu mwamba ame tu prove wrong mashabiki wengi pamoja na wadau wa soka kwa sababu
zifuatazo :–

Ni kocha wa kwanza kutoka afrika mzawa kuifikisha team yake hatua ya robo fainali.

Katika mechi 7 alizoiongoza Morocco hajaruhusu goli kwenye michezo 6 huku goli pekee likiwa dhidi ya Canada kwenye world tena lilikuwa la kujifunga.

Ameiongoza Morocco kufika hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo.

Amewarudisha kikosini hakim ziyech pamoja na noussair mazraoui waliokuwa wakiachwa kwenye kikosi kutokana na tatizo la nidhamu na wamemsaidia.

Kabla ya kuja kufundisha katika team ya taifa ya Morocco alikuwa kocha wa waydad iliyochukua Caf champions league dhidi ya al ahly ya pitso mosimane kwa ushindi wa goli mbili bila.

NB: bingwa wa Caf champions league na caf confederation cup wote wanatokea Morocco (waydad na Rs berkene).
20221208_141255.jpg
 
Wakiwa Spain wanashangaa nini kilichotokea kwenye mechi yao dhidi ya Morocco baada ya kutolewa kwenye mikwaju ya penalty huku baadhi ya mashabiki na wadau wa soka nchini Spain wakilaumu kuachwa kwa wachezaji wazoefu kwenye kikosi hicho ndio chanzo cha wao kukwama kwenye hatua huku wakidai Thiago alcantara David de gea pamoja na Sergio RAMOS walistahili kuwepo Qatar kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ila waswahili wanasema majuto ni mjukuu.

Ila lawama zote zimesababishwa na mwamba mmoja tu kutoka Africa nae si mwingine bali ni,
WALID REGRAGUI ambaye ni kocha wa team ya taifa ya Morocco na mchezaji wa zamani wa team hiyo katika nafasi ya ulinzi mzaliwa wa ufaransa lakini ni raia wa MORROCO kwa sasa ana umri wa miaka 47 na amefanikiwa kuwa kocha wa kwanza mzawa kutoka Africa kuiongoza team yake kufika hatua ya robo fainali.

Huyu jamaa kufika hatua hiyo hajabaatisha kama wengi wanavyodhani au ile kasumba ya waafrika kwamba hatuwezi kila kitu ila huyu mwamba ame tu prove wrong mashabiki wengi pamoja na wadau wa soka kwa sababu
zifuatazo :–

Ni kocha wa kwanza kutoka afrika mzawa kuifikisha team yake hatua ya robo fainali.

Katika mechi 7 alizoiongoza Morocco hajaruhusu goli kwenye michezo 6 huku goli pekee likiwa dhidi ya Canada kwenye world tena lilikuwa la kujifunga.

Ameiongoza Morocco kufika hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo.

Amewarudisha kikosini hakim ziyech pamoja na noussair mazraoui waliokuwa wakiachwa kwenye kikosi kutokana na tatizo la nidhamu na wamemsaidia.

Kabla ya kuja kufundisha katika team ya taifa ya Morocco alikuwa kocha wa waydad iliyochukua Caf champions league dhidi ya al ahly ya pitso mosimane kwa ushindi wa goli mbili bila.

NB: bingwa wa Caf champions league na caf confederation cup wote wanatokea Morocco (waydad na Rs berkene).
View attachment 2439507
Hongera kwao,wajipange kwa Ureno sasa maana pale ni shughuli pevu haswa
 
... kocha wa kwanza mzawa kutoka Africa kuiongoza team yake kufika hatua ya robo fainali.
... Huyu jamaa kufika hatua hiyo hajabaatisha kama wengi wanavyodhani au ile kasumba ya waafrika kwamba hatuwezi kila kitu
... Ni kocha wa kwanza kutoka afrika mzawa kuifikisha team yake hatua ya robo fainali.
NB: Morocco is an Arabic country located at southern Europe
 
It doesn't matter the fact it's from African continent we should support them in all circumstances.
Hawa jamaa sio nilifurahi kweli kuona wameshinda illa nimehuzunika Kwa Hili naombea ureno wapite tu , ni wabaguzi wa Hali ya juu
Screenshot_20221208-112843.jpg
 
You may support them, though, they don't appreciate that
I know but it's the only African team so far remains in world cup campaign lets stand firm and support them and break our sill ego and barriers lets do it.
 
Hao wajinga na ubaguzi wao hawatafika popote na ureno anaenda kuwapa kichapo cha mbwa Koko, [emoji3][emoji3]
 
Hawa jamaa sio nilifurahi kweli kuona wameshinda illa nimehuzunika Kwa Hili naombea ureno wapite tu , ni wabaguzi wa Hali ya juuView attachment 2439532
Waafrika kwa upuuzi ndio maana wazungu wanatuchezea akili na nina uhakika aliyeanzisha hizo movement kwamba jamaa kakosea sio waafrika yaani waafrika ni empty memory card yoyote atakayewahi kumjaza ujinga anaamini hata pale libya waliosema Gaddafi hafai na anawaonea raia wa Libya sio mu Africa na alifanikiwa leo hii wanalalamika yaani hata aliyeanzisha hiyo hoja sio kutoka Africa na anacheka kawakamata masikio tayari wakati mwamba hakumaanisha watu walivyo dhamiria Kama wewe.
 
Wakiwa Spain wanashangaa nini kilichotokea kwenye mechi yao dhidi ya Morocco baada ya kutolewa kwenye mikwaju ya penalty huku baadhi ya mashabiki na wadau wa soka nchini Spain wakilaumu kuachwa kwa wachezaji wazoefu kwenye kikosi hicho ndio chanzo cha wao kukwama kwenye hatua huku wakidai Thiago alcantara David de Gea pamoja na Sergio RAMOS walistahili kuwepo Qatar kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ila waswahili wanasema majuto ni mjukuu.

Ila lawama zote zimesababishwa na mwamba mmoja tu kutoka Africa nae si mwingine bali ni, WALID REGRAGUI ambaye ni kocha wa team ya taifa ya Morocco na mchezaji wa zamani wa team hiyo katika nafasi ya ulinzi mzaliwa wa ufaransa lakini ni raia wa MORROCO kwa sasa ana umri wa miaka 47 na amefanikiwa kuwa kocha wa kwanza mzawa kutoka Africa kuiongoza team yake kufika hatua ya robo fainali.

Huyu jamaa kufika hatua hiyo hajabaatisha kama wengi wanavyodhani au ile kasumba ya waafrika kwamba hatuwezi kila kitu ila huyu mwamba ame tu prove wrong mashabiki wengi pamoja na wadau wa soka kwa sababu
zifuatazo :–

Ni kocha wa kwanza kutoka afrika mzawa kuifikisha team yake hatua ya robo fainali.

Katika mechi 7 alizoiongoza Morocco hajaruhusu goli kwenye michezo 6 huku goli pekee likiwa dhidi ya Canada kwenye world tena lilikuwa la kujifunga.

Ameiongoza Morocco kufika hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo.

Amewarudisha kikosini hakim ziyech pamoja na noussair mazraoui waliokuwa wakiachwa kwenye kikosi kutokana na tatizo la nidhamu na wamemsaidia.

Kabla ya kuja kufundisha katika team ya taifa ya Morocco alikuwa kocha wa waydad iliyochukua Caf champions league dhidi ya al ahly ya pitso mosimane kwa ushindi wa goli mbili bila.

NB: bingwa wa Caf champions league na caf confederation cup wote wanatokea Morocco (waydad na Rs berkene).
View attachment 2439507
Ila kocha mtamu hana kitambi😊nilimuona siku hiyo aliangaika vibaya mno sidhani kama hata alikaa

Hivi inakuwaje hawa wa Morocco waitwe waafrica. Hapa tumepigwa.
 
Ila mganga konki wanaye.
 
Nonsense, ni sawa na upuuzi wa divide and rule wa kuita sub Saharan Africa, huu ujinga inabidi waafrika wenyewe tuukatae
Kweli kabisa mkuu nina uhakika aliyeanzisha hizo habari sio kutoka Africa yaani wazungu washatuona sisi ni bendera tu tunafuata upepo yaani mi sijaona hoja ya msingi kwenye hayo maneno ya mwamba kabisa waafrika kuwatenganisha ni rahisi sana.
 
Ila mtamu hana kitambi[emoji4]nilimuona siku hiyo aliangaika vibaya mno sidhani kama hata alikaa

Hivi inakuwaje hawa wa Morocco waitwe waafrica. Hapa tumepigwa.
Nani hana kitambi

Morocco ni Africa ingawa ni kweli wamepakana na nchi kama Spain it's a few kilometres from Morocco to Spain ndio maana wengine wanahisi sio waafrika ila tunisia pamoja na Algeria na Morocco wenyewe wamepakana na Spain karibu sana .
 
Hao wajinga na ubaguzi wao hawatafika popote na ureno anaenda kuwapa kichapo cha mbwa Koko, [emoji3][emoji3]
Acheni hizo wazungu na tofauti zao zote ila ikifika kwenye kujadili mustakabali wa nchi za afrika wanaungana na kujadiliana hawa mbwa sasa hivi tuwafanye nini.
 
Nani hana kitambi

Morocco ni Africa ingawa ni kweli wamepakana na nchi kama Spain it's a few kilometres from Morocco to Spain ndio maana wengine wanahisi sio waafrika ila tunisia pamoja na Algeria na Morocco wenyewe wamepakana na Spain karibu sana .
Kocha
 
Back
Top Bottom