pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Wakiwa Spain wanashangaa nini kilichotokea kwenye mechi yao dhidi ya Morocco baada ya kutolewa kwenye mikwaju ya penalty huku baadhi ya mashabiki na wadau wa soka nchini Spain wakilaumu kuachwa kwa wachezaji wazoefu kwenye kikosi hicho ndio chanzo cha wao kukwama kwenye hatua huku wakidai Thiago alcantara David de Gea pamoja na Sergio RAMOS walistahili kuwepo Qatar kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ila waswahili wanasema majuto ni mjukuu.
Ila lawama zote zimesababishwa na mwamba mmoja tu kutoka Africa nae si mwingine bali ni, WALID REGRAGUI ambaye ni kocha wa team ya taifa ya Morocco na mchezaji wa zamani wa team hiyo katika nafasi ya ulinzi mzaliwa wa ufaransa lakini ni raia wa MORROCO kwa sasa ana umri wa miaka 47 na amefanikiwa kuwa kocha wa kwanza mzawa kutoka Africa kuiongoza team yake kufika hatua ya robo fainali.
Huyu jamaa kufika hatua hiyo hajabaatisha kama wengi wanavyodhani au ile kasumba ya waafrika kwamba hatuwezi kila kitu ila huyu mwamba ame tu prove wrong mashabiki wengi pamoja na wadau wa soka kwa sababu
zifuatazo :–
Ni kocha wa kwanza kutoka afrika mzawa kuifikisha team yake hatua ya robo fainali.
Katika mechi 7 alizoiongoza Morocco hajaruhusu goli kwenye michezo 6 huku goli pekee likiwa dhidi ya Canada kwenye world tena lilikuwa la kujifunga.
Ameiongoza Morocco kufika hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo.
Amewarudisha kikosini hakim ziyech pamoja na noussair mazraoui waliokuwa wakiachwa kwenye kikosi kutokana na tatizo la nidhamu na wamemsaidia.
Kabla ya kuja kufundisha katika team ya taifa ya Morocco alikuwa kocha wa waydad iliyochukua Caf champions league dhidi ya al ahly ya pitso mosimane kwa ushindi wa goli mbili bila.
NB: bingwa wa Caf champions league na caf confederation cup wote wanatokea Morocco (waydad na Rs berkene).