Morocco ni timu ambayo nimetokea kuipenda sana ikifuatiwa na Algeria

Kama wawapenda olewa nao wakakucharange
 
Acha ujinga, unapenda timu ambayo waliukataa Uafrika wao wakati wa kombe la dunia! Hawa wanatakiwa kuchukiwa na waafrika wote.
 
Una uhakika gani kama wameukataa uafrika?

Kwahiyo ukiwachukia wewe, unataka na wengine wawachukie!!

Acha ubaguzi, fanya kazi
 
Neno ubaguzi linatumika sana pale mtu anataka kurazimisha hoja yake. Kwa bahati mbaya Waafrika wengi tunapenda kuwatetea watu wanaochukia rangi nyeusi. Kama sakata la huyu kapteni wa timu ya kandanda ya Morocco lilikupita pasi jikumbushe.
 
Attachments

  • Screenshot_20240119_121928_WhatsApp.jpg
    124.4 KB · Views: 5
Me Ghana na senegal
 
Neno ubaguzi linatumika sana pale mtu anataka kurazimisha hoja yake. Kwa bahati mbaya Waafrika wengi tunapenda kuwatetea watu wanaochukia rangi nyeusi. Kama sakata la huyu kapteni wa timu ya kandanda ya Morocco lilikupita pasi jikumbushe.

Siku hizi mtu anaweza akafanya editing, hakuna ukweli wowote hapo.

Kama ametamka mimi naona yupo sahihi kabisa na wala hakukosea, wao ni waarabu na sio watu weusi, bali ni (WA AFRIKA)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…