Hamna cha kupoteza maana wengi wameshakatia tamaa Simba kupata matokeo mazuri, kwa hiyo wachezaji hawabebi mzigo wa matarajio makubwa kulinganisha na Wydad. Hii ni faida kwa Simba.Hamna cha kupoteza kwamba mshachukua kombe au?
Niko sureNajua unaandika huku unashtuka[emoji23]
Kuogopa si jambo baya kama linasaidia kufanya jambo kwa tahadhari. Simba wanahitaji kutulia tu katika gemu ile na kufanya mambo kwa usahihi, kuepuka makosa nyuma, katikati kukaba viumbe wote, mbele kutumia nafasi vizuri na kupeana pasi kwa yule aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga. Tukifanya hayo yote yanawezekana.Mwamedi mwenyewe anaogopa [emoji23]
Huwa unanifurahisha sana jinsi unavyojiamini Mama, naamini huwezi kuniangusha hata tukiwa tumebaki vitani wawili tu, au nasema uwongo Ndugu yangu?Mnahangaika kama kuku watetea waliotayari kutaga..
Huyo wydad anafungwa tuko hapa...tunzeni comment yangu
Aaaaaahhhaaaa
Kila kitu kwenye mpira kinawezekanaMala paaap...Simba nusu fainali, khekhekheee
Amka wewe hiyo ndoto unayoota utajikojoleaHatuendi kiivyo mkuu...yani ktk siku watakumbuka ni kwanini walimbwela Benjamini...yani kule full time ni 0 kwa 0
Horoya 0-0 WydadTuliaminishana waarabu kwao hawafungiki Yanga akamchapa Club Africain kwake ,mpira ni mchezo kila mtu acheze tu fair then tutaona nani anafuzu hakuna cha kuhofia.
You can't be the best until you defeat the best
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app