SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hamna cha kupoteza maana wengi wameshakatia tamaa Simba kupata matokeo mazuri, kwa hiyo wachezaji hawabebi mzigo wa matarajio makubwa kulinganisha na Wydad. Hii ni faida kwa Simba.Hamna cha kupoteza kwamba mshachukua kombe au?
Wydad wameondoka na watacheza kwa pressure kubwa sana na dakika 30 za mwanzo wasipopata goli na Simba wakionekana kuumudu mchezo, jamaa watachanganyikiwa.