Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha

Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha

Hamna cha kupoteza kwamba mshachukua kombe au?
Hamna cha kupoteza maana wengi wameshakatia tamaa Simba kupata matokeo mazuri, kwa hiyo wachezaji hawabebi mzigo wa matarajio makubwa kulinganisha na Wydad. Hii ni faida kwa Simba.

Wydad wameondoka na watacheza kwa pressure kubwa sana na dakika 30 za mwanzo wasipopata goli na Simba wakionekana kuumudu mchezo, jamaa watachanganyikiwa.
 
Mwamedi mwenyewe anaogopa [emoji23]
Kuogopa si jambo baya kama linasaidia kufanya jambo kwa tahadhari. Simba wanahitaji kutulia tu katika gemu ile na kufanya mambo kwa usahihi, kuepuka makosa nyuma, katikati kukaba viumbe wote, mbele kutumia nafasi vizuri na kupeana pasi kwa yule aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga. Tukifanya hayo yote yanawezekana.
 
Tuliaminishana waarabu kwao hawafungiki Yanga akamchapa Club Africain kwake ,mpira ni mchezo kila mtu acheze tu fair then tutaona nani anafuzu hakuna cha kuhofia.

You can't be the best until you defeat the best

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Horoya 0-0 Wydad
Wydad 5-0 Horoya
Stade Malien 1-0 Wydad
Wydad 3-0 Stade Malien
Petro Luanda 2-1 Wydad
Wydad 5-1 Petro Luanda
Heart of Oak 1-0 Wydad
Wydad 6-0 Heart of Oak
Rivers 2-1 Wydad
Wydad 6-0 Rivers
Simba 1-0 Wydad
Wydad[emoji824]-[emoji824] Simba

Hatuongei sana
 
Back
Top Bottom