Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha


Tunamfunga huyo kwake na hamtaamini.
 
Haswaaaa yaan.

Unajua mwaka jana, kule south alitufelisha Mugalu, pia ktk penalty kicks wachezaji wetu walikua waoga, walishapoteza confidence.

Mwakaa huu wakakazee mbna tunaweza toboaa
 
Hawa jamaa inaonekana wana rekodi nzuri sana wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani na inaonekana vilevile kwamba hawatilii maanani sana mechi za ugenini.

Ukiangalia utaona wanashinda kwa margin kubwa sana wakiwa nyumbani wakati wakiwa ugenini pia wanapoteza kwa margin ndogo sana na takwimu hizo ndizo zinaiweka Simba kwenye wakati mgumu sana.
 
Na ndo kinachotakiwa ni umakini wa wachezaji ktk pitch, yaan natamani tuingie semi final kwa kumtoa bingwa mtetezii.
 
Yaaah kama uliona vizr walikuwa hawataki kuruhusu goli la pili

Hadi walianza kucheza Kwa vurugu
 
Haswaaaa yaan.

Unajua mwaka jana, kule south alitufelisha Mugalu, pia ktk penalty kicks wachezaji wetu walikua waoga, walishapoteza confidence.

Mwakaa huu wakakazee mbna tunaweza toboaa
Nadhani ambacho kimekuwa kinaiharibia Simba mara kwa mara hasa kwenye hatua hizi za mtoano ni ahadi ambazo wachezaji binafsi wanapewa. Unajua ile mchezaji anapigiwa simu na mtu anaambiwa ukifunga kila goli milioni 2, mtu kama Chama anaweza kuingia kwenye gemu ana jumla ya ahadi hata za milioni 20 akifunga goli, hii inaivuruga sana timu, wachezaji hasa washambuliaji wanakuwa na papara halafu unakuta ni wachezaji wawili watatu ndiyo wamepewa ahadi kwa hiyo spirit ya umoja katika timu inavurugika.

Mechi na Orlando, Kaizer ya marudiano, hii ya juzi ya Wydad, Simba ilipoteza nafasi za kutosha nadhani kutokana na sababu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…