Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha

kwaiyo kinachosubiriwa mtu kubakwa mande
 
Mi sioni ukali wa wydad kwa sasa kiasi hiko tunachowakuza... Ingekua Raja kweli [emoji23][emoji23]
Watani mkikaza mnatoboa tutawapa Morrison aka assist huko
 
Kama wanapewa ni vizr ...kuliko ahadi hewa
 
Sasa wanakoseaa, ndo maana kunakua na uchoyo na ubinafsii mwingii aaaah.

Km ile siku magoli ya wazi yalikosekana kisa uchoyo wa kupeana nafasi. Khaaah
 
Kama wanapewa ni vizr ...kuliko ahadi hewa
Hapana. Hiyo imekuwa inavunja spirit ya timu na kufanya wachezaji kujitafutia mafanikio binafsi. Goli nyingi zilizokoswa mechi ya Wydad zilikuwa ni kwa sababu mchezaji hataki kumpasia mwenzake aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga. Matokeo yake Simba wamekuwa wanatolewa katika mazingira ambayo unaona kabisa walikuwa na nafasi ya kuvuka.

Ahadi sahihi ni kwa timu nzima kama itapata ushindi.
 
Matokeo ya half time umewapendelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…