Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha

Ni kweli hawa jamaa wanatabia ya kuimalizA mechi kwao

But hii tabia ya kutegemea home ni Mbaya na ipo siku itawatokea puani

Hata SSC anahizi tabia, but tunakumbuka Galaxy ya Bitswana alifanya nin

Hata Wydad anaweza kuwa surprised
Wydadi sio vipers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…