Kuwa mkweli wewe gongowazi. Mlipotundikwa goli 2 ulipotea siku mbili JF.Au una bipolar?Hapana mkuu .....sinaga timu hapa bongo....Kila timu ikizingua tunaichana makavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mkweli wewe gongowazi. Mlipotundikwa goli 2 ulipotea siku mbili JF.Au una bipolar?Hapana mkuu .....sinaga timu hapa bongo....Kila timu ikizingua tunaichana makavu
Abroad ipi wewe kusikokuwa na access ya JF au Kwediboma?Nlikua abroad mkuu....kule hakuna access ya JF
Unauliza makofi polisi lazima mwarabu apigwe tena.Nan atapigwa sasa
Ndoto za abunwasiUnauliza makofi polisi lazima mwarabu apigwe tena.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wydadi sio vipersNi kweli hawa jamaa wanatabia ya kuimalizA mechi kwao
But hii tabia ya kutegemea home ni Mbaya na ipo siku itawatokea puani
Hata SSC anahizi tabia, but tunakumbuka Galaxy ya Bitswana alifanya nin
Hata Wydad anaweza kuwa surprised
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni tatizo la afya ya akili kwakweli...
Simba imemkaa mdomoni kuliko mate yake mwenyewe
Abroad ya Mbalizi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nlikua abroad mkuu....kule hakuna access ya JF
[emoji16][emoji16]ulikuwa abroad Eh!!!Nlikua abroad mkuu....kule hakuna access ya JF
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kavurugwa si bureAbroad ya Mbalizi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee umevurugwaaa.
Haswaaaah!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kavurugwa si bure
Ukubwa wa kibu dii kibu deeUkubwa gan mkuu wa kuroga au