Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

Inaonekana sisi ni wabaguzi mno. Ni vile tu ni masikini na masikini hawezi bagua sababu anahitaji.
Sisi tunabaguana kuliko kawida utasikia yule demu mweupe mzuri huku weusi wakionekana mambwiga tu[emoji706][emoji706]
 
kimsingi mimi mwenyewe ni mbaguzi,sinaga uhakika na mtu mwenye rangi nyeupe afadhali kwa mbalu wazungu,hawa nao ni baada ya kugundua hizi ni rangi tu wengi wao wameanza kubadilika,ila kuna mapopoma wengi sana bado wako gizani.
 
Pig [emoji241] [emoji241] [emoji241]
 
Bora hata hao wanatukataa wakiwa huko kwao,Kuna hawa tunao hapahapa Tanzania hawana wanakoita kwao zaidi ya Tanzania,ila wanajiona wa daraja la Kwanza ukitaka kuoa kwao uwe bilionea,mwanafamilia akijichanganya akaenda kuoa/kuolewa na mtu mweusi anatengwa.
 
Hivi ushawahi kufika Morocco au Tunisia (tuseme North Africa)? Unayoyaandika inaonesha hujafika. Aliyeweka Mpaka wa kutenganisha na sub-sahara hakuwa mjinga ujue
 

Vipi Tetemeko la Uturuki? Ghadhabu ilikua ni ya allah? Masna Uturuki ana mahusiano ya kidiplomasia na Israel.
 
Nimecheka sana aisee wakadhani wakijifananisha na wazungu watakuwa salama
 
rangi nyeupe sikuzote ni wabaguzi
 
Ivi kumbe sisi wabongo masnitch sana, yani izi comment zikitumwa Morocco haitojenga picha nzuri.

Situwege tunamwachia Ngoswe yake Ngoswe..

Mnaumia nn taifa linalojiweza!!

Sasa africa kuna nchi gani yakaribu yakuipa whinch Mirocco wainue vifusi vya matofali ya magorofa??

Ukiangalia nchi zote zinazo izunguka morroco kweli wako fit sio unafki.

Kuchagua msaada utokee wapi
Factor nyepesi tu ni graphical position🤣

Ivi unajua kule ni desert coast! Nchi ya karibu na yenye resource ni izo ukiangalia kutoka morroco mpka spain ni kama 3hrs ila kufika mpaka mwingine near ni almost 22hours🤣

Kweli ndo maana maza anasema tunaitaji elimu kwanza kama common sens tu za kugugo amna!😎
 
Unamaanisha lipige Dodoma ya Watanzania
 
muwaache na maisha yao.wakila bati wewe kula kigae.
 

Sioni point yoyote katika uzi huu!
 
Watapigwa na matetemeko hadi watuachie bara letu warudi kwao ulaya na uarabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…