Morocco walikuwa sahihi kutukana, ona tulivyoihaibisha Afrika

Morocco walikuwa sahihi kutukana, ona tulivyoihaibisha Afrika

kulagha nenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2026
Posts
690
Reaction score
1,375
Pole Afrika yangu,Yaani timu tisa zimeingia LAKINI zilizio fanya vizuri zile za waarabu tu
Kila kitu kwetu kibaya
1. Magonjwa ya kuambukiza HIV Aids Ebora
2. Vita na ufisadi DRC, sudan,Central africa n.k
3. Udikteta ubinafsi, kungangania madaraka
3. Makanisa ya kitapeli na mashekh matapeli waumini wajinga mazuzu, hatujielewi
4. Miundo mbinu mibovu,huduma mbovu
5. Kutekana kuuwana kuwekana jela bila makosa.
5. Mpaka Leo Bado wanafunzi wanakaa chini na hawana matundu ya vyoo ya kutosha wakati nchi zina utajili wa kutosha
7 viongozi matajiri wananchi masikini LA,KINI wanahubiri uzalendo. Yaani tuwe wazalendo tusiwasumbuwe wanapo hondomola, ukokosoa umetumwa na beberu

Haya nimambo ambayo nimefikiria sana nimejiuliza kama na sisi ni binadamu kama wengine au ndo nyani tulobadilika kidogo
 
Wanakera sana, utadhani wanacheza kwa maelekezo, wanacheza vizuri, dakika za mwisho wanaachia
 
1783081064967.jpg
 
At the end of the day football is mere entertainment bro,
That's why football is scheduled to be played after all day activities.

Even Sport news is announced after all other news....
Don't overlook Senegal or ivorians just because of being eliminated from tournaments.
Israel is a very weak nation in football but giant in intelligence and wars in the world.
USA has the strong economy and army but has weak football team
 
Back
Top Bottom