Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Kwani wewe umekwisha olewa? Labda tuanzie hapo kwanza?Wanandoa wapewe somo, ndoa ikishavurugika bora kutengana. Kuliko kurudishwa kwenu ndani ya jeneza, kwasababu ya mauhusiano au ndoa. RIP Mwl Tungaraza.