Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Mapenzi na njaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani boda ni boyaa? Alishajua kuna maokoto ya mirathi hapo atatusua sana tyuuh.

Km ni mapenzi, si angeshauri kivyovyote huyo mke aachane na mumewe, bila kuuana.
Anaachana naye vipi wakati mnajifanya UNTIL DEATH DO US APART, sasa ndio kifo kimewatenganisha.
 
Km hao wachepukaji, walipendana sana kwann baada ya mkuu kupeleka kesi kwa kitongoji, mke aliomba msamaha na kujutia makosa yake, na kukiri hatarudia? Si ndo ilikua njia rahisi ya yeye kumkataa mume na kuomba waachane?

Afu huyo boda ndo alikua anaenda kufanyia ufuska nyumbani kwa mkuu,

Maana yake hata ghetto hana, tena ukute anakaa kwa wazazi lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Screenshot_20240610-110643~2.png

Similar Mjadala...
Wanaume wanauwawa pia.
 
Km hao wachepukaji, walipendana sana kwann baada ya mkuu kupeleka kesi kwa kitongoji, mke aliomba msamaha na kujutia makosa yake, na kukiri hatarudia? Si ndo ilikua njia rahisi ya yeye kumkataa mume na kuomba waachane?

Afu huyo boda ndo alikua anaenda kufanyia ufuska nyumbani kwa mkuu,

Maana yake hata ghetto hana, tena ukute anakaa kwa wazazi lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa akienda kazini (Shule) Mwamba anakuja mpaka home anakula mapochopocho na kutafuna mzigo kabisa hadi kazaa naye dah😭😭😭 Mungu tuiepushie huo msiba. Mana hapo kuna mawili, uuawe au uue.
 
Back
Top Bottom