cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Pair zinazoshona Hadi sare za kitenge wengi wao ni wanafunzi kwenye Mambo ya mapenzi. Hivi nguvu za kwenda Hadi serikali ya kijiji kushtaki kwamba mke anachepuka unaitoa wapi mwanaume na heshima zako??
Si angemuacha tu akafie mbele huko na uhuni wake.
Si angemuacha tu akafie mbele huko na uhuni wake.