Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunaga cha dini siku hizi. Ndoa zinavunjwa kila siku. Tujifunze kuachana kila mtu ashike njia yakeTatizo pengine dini yao haikubali utengano sasa afanyeje
Mkuu usitusemee sana,kama una nia ya kujifunza uliza.Anaachana naye vipi wakati mnajifanya UNTIL DEATH DO US APART, sasa ndio kifo kimewatenganisha.
Mwanamke akianza kutoka nje ya ndoa na unauhakika mwache huru tu!!Tena ikiwezekana tafuta Chaka jipya uwe unaenda kulala kule huku ukihudumia watoto!!Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda. Na amezaa na huyo Boda mtoto mmoja
Ukristo unaruhusu utengano,isipokuwa unaondoa uhalali wa ndoa nyingine takatifu kwa watenganao kila mmoja na mtu mwingine isipokuwa kama wataishi kienyeji tu.Tatizo pengine dini yao haikubali utengano sasa afanyeje
KabisaMwanamke akishachepuka mwache tu aende.
Chaka huwa sio la kutafuta,linatakiwa liwepogo tu siku zote,ila unayelijua ni ww.Mwanamke akianza kutoka nje ya ndoa na unauhakika mwache huru tu!!Tena ikiwezekana tafuta Chaka jipya uwe unaenda kulala kule huku ukihudumia watoto!!
Usilazimishe uhusiano kama umekufa tayari!matokeo yake ni kifo kama hivyo!
Boda kaendesha chombo hadi kimemuelewa hakitaki dereva mwingine.Boda boda wana hatariii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sahihi kabisaA bad wife is worse than a poverty,
If u have a good wife you are already rich.
Wa ndani wanaujua Mwalimu na Bodaboda.Uzuri wa nje sio wa ndani
Poleni sanaa mkuu, hata me nilipigiwa simu na dada yake usiku huo wa tukio kwakweli sikulala kabisa maana Mwalimu Chris nilikua namfahamu kama family friend alikua mtu poa sanaa.Naishi karibu na sehemu hilo Tukio lilipotokea lkn kwa maumivu nilioyapata baada ya kusikia sikujaribu kusogea pale mpaka jamaa anasafirishwa kwenda huko kwao Ukerewe. Tunaoishi maenea haya tuliumia sana.
Uzuri wa mwanamke ni tabia.Mwanamke mzuri tena kama shombeshombe
... mbona, INASEMEKANA, pikipiki zinawapunguzia nguvu za kiume?Kuna mdau mmoja humu ashawahi kusema... " Bodaboda wanajua sana kutomba, wanatomba sana wanafunzi na wake za watu. Bodaboda akiwa anatomba huwa anatomba utafikiri anachimba shimo"
Tukio hili ni wake up call kwa wanandoa wote, tusijiamini kupita kiasi. Kilicho muua Mwamba nikuendelea kukaa na msaliti ndani.Poleni sanaa mkuu, hata me nilipigiwa simu na dada yake usiku huo wa tukio kwakweli sikulala kabisa maana Mwalimu Chris nilikua namfahamu kama family friend alikua mtu poa sanaa.
Naona uHonest wake ndo ulimfanya huyo mwanamke amdharau na kumSabotage.
Mazishi tulifanya Wilaya ya Maswa, kwakweli watu walikua wengi na majonzi ni mazito hasa ukiwaangalia watoto wawili hawa wa marehemu.
Mungu atusaidie kwakweli, mahusiani yamekua changamoto sana.
Chaka huwa sio la kutafuta,linatakiwa liwepogo tu siku zote,ila unayelijua ni ww.
Kingine,unaweza ruhusu aende akagoma pia,maana huwa wanataka vilivyopo na vingine vya nje sometime,so lazima uhakikishe pia ulikuwa tayari kuondoka muda wowote na kumuacha kama alivyo.
Najua ni ngumu sana kwa wengi ila mwanaume ni kama simba dume.
Anazaliwa na baba na mama(utoto na uvulana),
anaishi kwa amani mpaka umri fulani anafukuzwa Akatafute himaya yake(ujana na kujitafuta).
Anakwe kuvamia pride nyingine inakuwa ya kwake(mahusiano na ndoa).
Anapata watoto na kuanza kuwakuza na kuwalinda(uzazi,malezi na matunzo).
Anafukuzwa kwenye pride yake aliyoilinda muda mwingi(hapa ni kile kipindi cha utu uzima)watoto wamejipata wanawasiliana na mama yao tu,na ndiye anachagua akaishi kwa nani hajali tena kuhusu wewe.
WANAUME TUNATAKIWA KUNYATA SANA.