Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Ndani ya miaka kama 30 hivi niliwasikiliza mapastari tofauti na kwa nyakati tofauti wakitoa tahadhari kwa vijana wanaoingia kwenye ndoa. Walisema ndoa ni nzuri ila zinaweza kugeuka uwanja wa mapigano kati ya wanandoa wenyewe kwa wenyewe kama hawatakuwa na hekima na busara
 
Walimaanisha kwenye Ndoa kugongwa na kugongewa sio Jambo la ajabu kwa HIO ujue kuamua unaingia au hauingii Ila jua utagongewa tu
 
Back
Top Bottom