Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Inasikitisha Sana,😥.
Nimewafikiria watoto😥😥
FB_IMG_1718024433333.jpg
FB_IMG_1718024420959.jpg
 
Mwanaume ukianza kuvaa sare za vitenge na mkeo umekwisha narudia tena umekwisha.
Wanaume acheni kuwa mafala kwanini mnaoa nyie ona sasa huu ujinga unakowapeleka NDOA NI UTAPELI, KATAENI NDOA mwanamke hajawahi kumpenda mwanaume zaidi ya kujipenda yeye kwanza anaweza kufanya chochote kile kwako
 
Mimi mke wangu alichepuka na Dereva wa bajaji nanikajua Nika mpiga chini moyoni bila yeye kujua, Nilivyo pata hela ya nauli Tu, Nika msafirisha kwao Karagwe mkoa wa kagera alivyofika tu, Nika msomea kesi kwenye simu na mpaka ushaidi nimempa. Nikatuma Taraka 6 kwenye sms 😠😠Baba yake sasa njoo tuyamalize Nika waambia nitakuja baada ya miezi 6😄😄. Mpaka leo mwaka wa 4 sijaenda.🏃🏃
Hii imekaa kibingwa sana.. safi sanaa kamanda.
 
Kuna Kesi kama 2 hivi- Jamaa Walioa mabinti ambao awajakula ujana(awajaishi dating/party life wenyewe) walipokuja pata ajira zao hawa mabinti walianza Kuchepuka! Iliwasumbuwa sana wanaume zao.na mwishowe Wanaume waliamua kuachana nao- Mwanamke akipenda kapenda na atafanya lolote kulinda pale anapopenda- kama upendwi kubali na achana nae dont force.... ukiforce either ufe wewe au mgawane majengo ya Serikali mmoja akalazwe Mochuwari wewe mume akalazwe Jela😭
Hakuna cha kula ujana wala nini. Malaya ni malaya tu.
 
Hasa uwe mwanaume uwe mweusi mwanamke sura Zuri na umbo fulani ,kitovu kikubwa hatakama kidogo chakuingia ndani

Kizungukwe na tunywele fulafulani , utajikuta huachi kushona nguo mashati yanayofanana na mkeo

Hilo ,eneo nalifahamu walimu washule msingi pasua kichwa anatuma picha yakutumika mazishini anaacha kutoa taarifa nyumbani pake sio salama!!!!!

Hii nchi haihitaji zahanati na vituo vya afya vingi Bala vituo ushauri viwevingi lamta
 
Huyo marehemu kakosea sana kumuacha mwanamke anachepuka hadi anamleta mwanaume kwake, eti anaenda kushitaki serikali za mitaa? Huyo sio mwanaume, marehemu alizembea sana, iiiiihhh thubutu najua angekutana na wengine kama sisi hata asingewazia kufanya ushenzi wa aina yoyote, angejikuta yuko kwao haraka sana, alafu kabla ya kuoa angalieni familia wanazotoka hawa viumbe, wengine ni malaya na mashetani sana alafu unaoa
Hili hata mimi nakubali. Ni udhaifu mkubwa sana. Mchepukaji unampeleka serikali za mitaa?
 
Back
Top Bottom