Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Hasa uwe mwanaume uwe mweusi mwanamke sura Zuri na umbo fulani ,kitovu kikubwa hatakama kidogo chakuingia ndani

Kizungukwe na tunywele fulafulani , utajikuta huachi kushona nguo mashati yanayofanana na mkeo

Hilo ,eneo nalifahamu walimu washule msingi pasua kichwa anatuma picha yakutumika mazishini anaacha kutoa taarifa nyumbani pake sio salama!!!!!

Hii nchi haihitaji zahanati na vituo vya afya vingi Bala vituo ushauri viwevingi lamta
hao watu wenyewe wa kutoa ushauri tunahitaji ushauri wa hali ya juu,,hivyo vituo vitakaa bila washauri.
 
Km hao wachepukaji, walipendana sana kwann baada ya mkuu kupeleka kesi kwa kitongoji, mke aliomba msamaha na kujutia makosa yake, na kukiri hatarudia? Si ndo ilikua njia rahisi ya yeye kumkataa mume na kuomba waachane?

Afu huyo boda ndo alikua anaenda kufanyia ufuska nyumbani kwa mkuu,

Maana yake hata ghetto hana, tena ukute anakaa kwa wazazi lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaonekana marehemu alikuwa mpole kupitiliza na possibly mkewe ndiyo alikuwa kichwa cha nyumba. Mwanaume mwenzako anakuja mpaka nyumbani kumfuata mkeo halafu wewe unakimbilia serikali ya mtaa kushtaki? Halafu unatuma picha eti itumike wakati wa mazishi?
 
hao watu wenyewe wa kutoa ushauri tunahitaji ushauri wa hali ya juu,,hivyo vituo vitakaa bila washauri.
Tunasikia serikali ,ina Dira ya maendeleo 2050

Hatuelewi kwenye mipango hiyo swala la kuzalisha sana wataalamu na ujenzi vituo watalikumbuka

Naona,shivj kawapiga sana sipana kwenye dhana ya dira
 
Mimi mke wangu alichepuka na Dereva wa bajaji nanikajua Nika mpiga chini moyoni bila yeye kujua, Nilivyo pata hela ya nauli Tu, Nika msafirisha kwao Karagwe mkoa wa kagera alivyofika tu, Nika msomea kesi kwenye simu na mpaka ushaidi nimempa. Nikatuma Taraka 6 kwenye sms 😠😠Baba yake sasa njoo tuyamalize Nika waambia nitakuja baada ya miezi 6😄😄. Mpaka leo mwaka wa 4 sijaenda.🏃🏃
Safi umechukua uamuzi sahihi,Usaliti hauna msamaha.
 
Mimi mke wangu alichepuka na Dereva wa bajaji nanikajua Nika mpiga chini moyoni bila yeye kujua, Nilivyo pata hela ya nauli Tu, Nika msafirisha kwao Karagwe mkoa wa kagera alivyofika tu, Nika msomea kesi kwenye simu na mpaka ushaidi nimempa. Nikatuma Taraka 6 kwenye sms 😠😠Baba yake sasa njoo tuyamalize Nika waambia nitakuja baada ya miezi 6😄😄. Mpaka leo mwaka wa 4 sijaenda.🏃🏃
Ulifanya ukomandoo mzuri sana. Mlikuwa hamjazaa?
 
Tuache utani lakini, huyu demu ni mzuri alafu anaonekana mtamu sana aiseee, masikini ameingia gerezani na utamu wake jaman
 
Inaonekana marehemu alikuwa mpole kupitiliza na possibly mkewe ndiyo alikuwa kichwa cha nyumba. Mwanaume mwenzako anakuja mpaka nyumbani kumfuata mkeo halafu wewe unakimbilia serikali ya mtaa kushtaki? Halafu unatuma picha eti itumike wakati wa mazishi?
Kapata Mume mpole sana angepata kichwa kibovu unapigwa taraka ya chapu kwanza
 
Tunasikia serikali ,ina Dira ya maendeleo 2050

Hatuelewi kwenye mipango hiyo swala la kuzalisha sana wataalamu na ujenzi vituo watalikumbuka

Naona,shivj kawapiga sana sipana kwenye dhana ya dira
mmmh sitii neno apo,,ila sina uhakika
 
I can divorce the bad wife! I guess its easier than getting rich.
Correct. However, suppose in this context, you’re obliged to endure the bad wife - as a condition to your being rich!

Najua ni kama sharti la mganga lakini, kufuatana na wazo lako mwanzoni nilitaka kuona kipi kinachovumilika zaidi kati ya umasikini na mke mbovu katika hizi combi mbili: umasikini/mke bora na utajiri/mke mbovu. Wadau wanaita the devil’s choice or alternative. Nimechukulia kuwa kwa mantiki iliyopo hapa huwezi kumtimua mke mbovu kirahisi rahisi tu😅

Nimeandika hivi baada ya kuona kuna wakuu wameweka hoja njema zinazofikirisha pia kuwa: mke mwema huweza kukuinua na mke mbovu huweza kukuangusha na utajiri wako. Sijui kipimo cha utajiri na umasikini nacho tunakionaje hapa. Unaweza ongeza mambo kama furaha, huzuni, maumivu, hasira, n.k. It’s all hypothetical lakini athari za mambo haya katika maisha yetu ni real and complex.
 
Mimi mke wangu alichepuka na Dereva wa bajaji nanikajua Nika mpiga chini moyoni bila yeye kujua, Nilivyo pata hela ya nauli Tu, Nika msafirisha kwao Karagwe mkoa wa kagera alivyofika tu, Nika msomea kesi kwenye simu na mpaka ushaidi nimempa. Nikatuma Taraka 6 kwenye sms 😠😠Baba yake sasa njoo tuyamalize Nika waambia nitakuja baada ya miezi 6😄😄. Mpaka leo mwaka wa 4 sijaenda.🏃🏃
Mimi niliacha nimemlipia pango la mwaka mzima gf yule, baada ya miezi miwili anauliza mbona hurud nikamwambia tumeshaachana, kodi ya miez 10 inatosha wewe kujipanga na samani zote za ndani ni zako, nikampa na kifuta jasho cha tubiashara, leo mwaka wa sita alishachoka omba msamaha
 
Utamrudia 😄

Ova
 
Back
Top Bottom