Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Boda kaendesha chombo hadi kimemuelewa hakitaki dereva mwingine.

Boda nae ana audacity; eti anaenda bado nyumbani kwa mwalimu hata kama wameshtukiwa

Huu uzi asiuone Mpwayungu Village maana Walimu wataishaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boda boda mi5 tena, na pipkpik zimemwagwaa mpyaaa karibuni, ndoa zitakomaaa.
 
Kuna tatizo ktk hilo wnawake watulivu wakicharuka wanaharibu vibaya mno na anawwza kufikia hata miaka 40 au hata 50 akaishi km aliye kwenye balehe nimewaona wengi ni aibu kiukweli
 
Ukiona mkeo ameanza kucheat, achana naye. Endelea na maisha yako.
Watu wazima, wameelewana na wameenda kufanya ngono. Wewe unajeuri gani ya kuwazuia? Huyo mke wako, atatumika kukiwekea sumu kwenye chakula na utakufa.
Hakuna kesi ya kutembea na mke wa mtu hata ukienda polisi kwasababu hao ni watu wazima wameelewana
 
Mwanamke amekamatwa kizembe Sana alikuwa haonyeshi hata huzuni wala kujishughulisha na msiba watu wakaanza kunog'ona mbona Hana huzuni au kapenda mumewe kufa ,Kuna mtu kaenda kuiba Simu wakakuta sms "tumemaliza kazi" hapo kukamatwa kwake ndo kulianza
 
Iyo sasa sidhani kama ni ndoa Tena. Labda hofu ipo kwenye kugawanya mali tu, ila mtu unajua kabisa hapa baadhi ya watoto sio wangu na bado umekomaa tu na iyo ndoa.. iyo ni balaa
SIO balaa HIO inaitwa alikiunganisha MUNGU usicheze na MUNGU ukiunganishwa hata wewe mwenyewe hutakiwi kujitoa ushafungwa hilo gereza la milele hakuna kutoka HUMO hata iweje
 
Mwanamke amekamatwa kizembe Sana alikuwa haonyeshi hata huzuni wala kujishughulisha na msiba watu wakaanza kunog'ona mbona Hana huzuni au kapenda mumewe kufa ,Kuna mtu kaenda kuiba Simu wakakuta sms "tumemaliza kazi" hapo kukamatwa kwake ndo kulianza
Kheeeh basi kumekuchaaa, lol
 
Hivi bodaboda anakujulaje, khaa. Hao wake za watu nao ni maharage ya mbeya. Boda haswa loh.
Kuna Jamaa huku nilipo anatombewa na Boda tena hio Boda ndio inamwendesha mkewe mara kwa mara na Jamaa akisafiri tu Boda inakuja kulala na Mke wa Jamaa inapiga mashine kisawasawa, wanawake wana ROHO za Iblisi Shetani
 
Kama ushahidi umepatikana kupitia kipigo ni batili. Mnasema alikuwa amelala na mumewe ndio wakavamiwa na mume kuuawa. Lakini wakamsulubu mwanamke mpaka kakiri! Kwa upelelezi wa aina hii watu wengi wasio na hatia watabambikiwa kesi.

Amandla...
Message za Simu
 
Watu wa Kampeni ya'Kataa Ndoa' hapa wameondoka na ushindi mnono sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…