Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mali sio kweli.!! Ila kero za ndoa ndo chanzo kikubwa.Asilimia kubwa Wanawake imezidi kuuwa Waume zao Si kimapenzi tu hata Kimali..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali sio kweli.!! Ila kero za ndoa ndo chanzo kikubwa.Asilimia kubwa Wanawake imezidi kuuwa Waume zao Si kimapenzi tu hata Kimali..!!
Correct. However, suppose in this context, you’re obliged to endure the bad wife - as a condition to your being rich!Correct. However, suppose in this context, you’re obliged to endure the bad wife - as a condition to your being rich!
Najua ni kama sharti la mganga lakini, kufuatana na wazo lako mwanzoni nilitaka kuona kipi kinachovumilika zaidi kati ya umasikini na mke mbovu katika hizi combi mbili: umasikini/mke bora na utajiri/mke mbovu. Wadau wanaita the devil’s choice or alternative. Nimechukulia kuwa kwa mantiki iliyopo hapa huwezi kumtimua mke mbovu kirahisi rahisi tu😅
Nimeandika hivi baada ya kuona kuna wakuu wameweka hoja njema zinazofikirisha pia kuwa: mke mwema huweza kukuinua na mke mbovu huweza kukuangusha na utajiri wako. Sijui kipimo cha utajiri na umasikini
Najua ni kama sharti la mganga lakini, kufuatana na wazo lako mwanzoni nilitaka kuona kipi kinachovumilika zaidi kati ya umasikini na mke mbovu katika hizi combi mbili: umasikini/mke bora na utajiri/mke mbovu. Wadau wanaita the devil’s choice or alternative. Nimechukulia kuwa kwa mantiki iliyopo hapa huwezi kumtimua mke mbovu kirahisi rahisi tu😅
Nimeandika hivi baada ya kuona kuna wakuu wameweka hoja njema zinazofikirisha pia kuwa: mke mwema huweza kukuinua na mke mbovu huweza kukuangusha na utajiri wako. Sijui kipimo cha utajiri na umasikini nacho tunakionaje hapa. Unaweza ongeza mambo kama furaha, huzuni, maumivu, hasira, n.k. It’s all hypothetical lakini athari za mambo haya katika
maisha yetu ni real and complex.
Kazi nzuriMi bikra simjui mwanaume 😜
kataa ndoa wana hoja mkuu, kwa matukio haya inabidi wasikilizwe.nmecheka sanaa km mazuri
MWANAUME UKISHAONA DALILI HAKUNA TENA HESHIMA KWA MKE KUVUA CHUPI KWA MWINGINE WEWE SEPA ZAKO NA KIBEGI CHA NGUO NA LAINI UBADILISHE.USIOGOPE KUANZA SIFURI UKIWA NA MTAJI WA PESA NA AFYAHuyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda. Na amezaa na huyo Boda mtoto mmoja wa mwisho katika watatu. Jana mwili umesafirishwa kwenda Ukerewe kwa mazishi. Mwanamke yupo police Morogoro kala kipigo kaeleza upuuzi wake wote na alioshiriki nao katika uhalifu huu!
===
Wakati Jeshi la Polisi mkoani Morogoro likiendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Signal, Christian Tungaraza, mdogo wa marehemu, Clavery Tungaraza amesema mara ya mwisho kaka yake alimtumia picha yake na kumwelekeza kwamba itumike kwenye mazishi yake atakapokuwa amekufa.
Clavery amebainisha kwamba hadi sasa hafahamu mauaji hayo yametokana na nini kwa kuwa marehemu kaka yake hakuwahi kumueleza kama alikuwa na mgogoro au ugomvi na mtu yeyote.
Wakati uchunguzi huo ukiendelea, mke wa mwalimu wake Jovina Mwakiyee (33), mkazi wa Kijiji cha Mang'ula A, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kula njama na kumuua mume wake.
Akizungumzia na Mwananchi Digital, mdogo wa marehemu amesema alipata taarifa za mauaji ya kaka yake Juni Mosi, 2024 usiku kutoka kwa shemeji yake (Jovina) ambapo alielezwa kuwa walivamiwa usiku huo na watu wasiojulikana na kuanza kumshambulia kaka yake.
“Baada ya kupata taarifa hizo nikiwa nyumbani Simiyu, nilianza kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki waliokuwa karibu na kaka huku Morogoro na ilipofika asubuhi tukapata taarifa kuwa kaka amefariki akiwa hospitali Ifakara, basi nikiwa na ndugu wengine tulikwenda Morogoro na kuchukua mwili wa mpendwa wetu,” amesema Clavery.
Ameongeza kuwa baada ya kufika Morogoro kwa ajili ya kuchukua mwili wa kaka yake, hakuweza kupata nguvu na muda wa kuuliza chanzo cha mauaji hayo na wala kujua nani amehusika, bali waliweza kuwasiliana na polisi na kukabidhiwa mwili na kuusafirisha hadi Simiyu kwa ajili mazishi.
“Hata hivyo, baada ya kufika Ifakara tulipata taarifa kutoka polisi kuwa yule shemeji amekamatwa na kushikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kaka na kula njama, sisi kama familia hatuwezi kuthibitisha kama kweli shemeji amefanya hivyo ama la, wenye uwezo wa kuthibitisha hilo ni polisi baada ya kukamilisha uchunguzi,” amesema Clavery.
Kuhusu maisha aliyokuwa akiishi kaka yake na mke wake, Clavery amesema hana uhakika kama yalikuwa ni maisha mazuri na furaha ama ya migogoro kwa kuwa katika kipindi chote walichoishi, hakuwahi kusikia kesi wala malalamiko kutoka kwa wanandoa hao.
“Enzi za uhai wake, kaka yangu alikuwa ni mtu mcheshi, hakuwa mgomvi, yawezekana alikuwa akipita kwenye migogoro ya ndoa lakini mimi kama mdogo wake na hata ndugu wengine hawajawahi kusikia alilalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili na mke wake, hivyo kama alikuwa akipita kwenye magumu basi alichagua kuvumilia,” amesema Clavery.
Akieleza kauli ya mwisho aliyoongea na kaka yake, Clavery amesema wamekuwa na mazungumzo ya kawaida lakini mara ya mwisho alimtumia picha na kumuandikia ujumbe kuwa picha hiyo itumike kwenye jeneza endapo atafariki siku yoyote.
“Nakumbuka kuna picha moja alinitumia na kuniambia kama atakufa basi ndiyo itumike kwenye jeneza, sikujua alikuwa anamaanisha nini, mimi niliitunza ile picha na siku ya msiba tuliamua kuitumia ile picha kama alivyousia na hiki ndio kitu kinachoniuma zaidi,” amesema Clavery.
Amesema kaka yake ni mtoto wa tatu kati ya watoto sita waliozaliwa kwenye familia ya mzee Tungaraza ambapo naye ameacha watoto watatu aliozaa na mke wake huyo ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi.
Amesema tayari watoto wawili kati ya hao watatu wamechukuliwa na ndugu zao na mmoja mdogo mwenye umri chini ya miaka miwili alichukuliwa na akiwa na mama yake polisi walipokuja kukamata.
Mmoja wa walimu ambao ni marafiki wa karibu wa marehemu Tungaraza ambaye hakutaka kutaja jina lake, amesema taarifa alizopata ni kwamba wanandoa hao walikuwa kwenye mgogoro ambao unaelezwa kuwa ulitokea baada ya mke kutokuwa mwaminifu katika ndoa yake.
“Mwalimu Tungaraza enzi za uhai wake alisumbuana na mke wake hasa kwa kile kinachodaiwa kuwa mke wake hakuwa mwaminifu na zipo taarifa kuwa alikuwa na uhusiano na kijana mmoja ambaye tunasikia tayari ameshakamatwa,” amesema mwalimu huyo.
Jirani wa marehemu Tungaraza ambaye pia ni katibu wa Kitongoji cha Gendeni, Kijiji cha Mang'ula A, Fahamia Abdallah amesema Aprili 2024, Tungaraza alifika kwenye Serikali ya kitongoji hicho na kueleza mgogoro uliopo baina yake na mke wake, huku akitaja sababu kubwa ya mgogoro huo kuwa ni mke wake kutokuwa mwaminifu katika ndoa na kumtaja kijana mmoja kuwa alikuwa na mahusiano na mke wake.
Katibu huyo wa kitongoji amesema kuwa baada ya kupokea madai hayo mke wa Tungaraza aliitwa katika ofisi hizo na viongozi akiwemo yeye katibu na baada ya kuelezwa kile anachotuhumiwa mwanamke huyo alimuomba radhi mume wake (Tungaraza) na kumuahidi kujirekebisha hasa kitabia na hivyo wanandoa hao waliondoka na kwenda kuendelea na maisha kama kawaida.
“Wiki mbili kabla ya Mwalimu Tungaraza hajauawa, alinipigia na kunipa taarifa kuwa kijana aliyekuwa akimtuhumu kujihusisha kimapemzi na mke wake aliendelea kufika nyumbani kwake. Hivyo aliniomba nizungumze na mke wake na nimuonye kwa kuwa jambo hilo halipendi, sikuwahi kumuita huyu mwanamke kwa kuwa na mimi nilianguka na kuvunjika mguu. Nilitamani kabla ya kumuita nifanye uchunguzi wangu ili nijiridhishe lakini ndo hivyo kama sijakamilisha uchunguzi ndipo tukio hilo likatokea," amesema Fahamia.
Akizungumzia marehemu Tungaraza, katibu huyo amesema tangu amemfahamu hajawahi kumuona akigombana na mtu yeyote na mara zote amekuwa akicheka na watu na pia hajawahi kupelekwa kwenye Serikali ya kijiji kwa tuhuma zozote, hivyo kifo chake kimeacha maswali mengi kwa wananchi wa Mang'ula na hata maeneo ya jirani.
Kufuatia tukio hilo, katibu huyo amesema Serikali ya kijiji imepanga kuitisha mkutano mkubwa wa wananchi kwa ajili ya kutoa elimu ya namna ya kuepukana na matukio kama hayo ambayo yanaweza kutokea, pia ameliomba Jeshi la Polisi kutenda haki ili wote waliohusika na mauaji hayo wakamatwe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama akizungumza na waandishi wa habari, amesema mwalimu huyo akiwa amelala na mtuhumiwa (mke wake) na watoto wao wawili, alivamiwa ndani na kuuawa kwa kupigwa na kitu butu kichwani.
Kamanda Mkama amesema baada ya mauaji hayo, jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi zaidi ili kuwapata watuhumiwa wengine ambao wanatuhumiwa kushirikiana na mwanamke huyo.
Hapa Mwalimu hakuwa sawa kiakili inawezekana alichezewa.Kosa la marehemu lilianzia hapa,"Katibu huyo wa kitongoji amesema kuwa baada ya kupokea madai hayo mke wa Tungaraza aliitwa katika ofisi hizo na viongozi akiwemo yeye katibu na baada ya kuelezwa kile anachotuhumiwa mwanamke huyo alimuomba radhi mume wake (Tungaraza) na kumuahidi kujirekebisha hasa kitabia na hivyo wanandoa hao waliondoka na kwenda kuendelea na maisha kama kawaida".Alijua mkewe ana mahusiano na bodaboda akajifanya anaweza kusamehe na ku moveon...
Ishi nao kwa akili 😂😂. 2-1.Wametufunga mbili. Tukio la Goba tulikuwa tunaongoza la Moshi wakawa wamesawazisha la Mang'ula naona wanaongoza tena
Usikute jamaa alikuwa ameoa baamediHizi ndio changamoto za kuoa malaya
Kumfanya malaya mke ni ngumu sana
Hawa viongozi wa kiroho ukiwaendekeza inakula kwako. Za kuambiwa ni lazima uchanganye na zakoKuna jamaa wa karibu aliniambia Kiongozi wa Kiroho alimsihi mwamba amvumilie Mke wake kwani atabadilika. Nikasema jamaa kumbe kujitia kitanzi mwenyewe.
Iyo sasa sidhani kama ni ndoa Tena. Labda hofu ipo kwenye kugawanya mali tu, ila mtu unajua kabisa hapa baadhi ya watoto sio wangu na bado umekomaa tu na iyo ndoa.. iyo ni balaaMfano Hai ninao Mimi kwa HIO najua ninachokiandika Dawa ya Mwanamke anaekitembeza kigozi ni kwenda nae Sawa tu akiwe Mguu unaweka Jiwe hapo mtaenda Sawa yaan hamtogombana wala vurugu zingine sababu yeye mwenyewe anajua na anaelewa hakutendei haki kwa HIO hata akisikia una watoto huko nje hawezi kushangaa sababu anajua watoto wengine aliokuzalia sio wa kwako wewe ni Baba mlezi tu Baba halisi yupo huko nje
Kama ushahidi umepatikana kupitia kipigo ni batili. Mnasema alikuwa amelala na mumewe ndio wakavamiwa na mume kuuawa. Lakini wakamsulubu mwanamke mpaka kakiri! Kwa upelelezi wa aina hii watu wengi wasio na hatia watabambikiwa kesi.Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda. Na amezaa na huyo Boda mtoto mmoja wa mwisho katika watatu. Jana mwili umesafirishwa kwenda Ukerewe kwa mazishi. Mwanamke yupo police Morogoro kala kipigo kaeleza upuuzi wake wote na alioshiriki nao katika uhalifu huu!
===
Wakati Jeshi la Polisi mkoani Morogoro likiendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Signal, Christian Tungaraza, mdogo wa marehemu, Clavery Tungaraza amesema mara ya mwisho kaka yake alimtumia picha yake na kumwelekeza kwamba itumike kwenye mazishi yake atakapokuwa amekufa.
Clavery amebainisha kwamba hadi sasa hafahamu mauaji hayo yametokana na nini kwa kuwa marehemu kaka yake hakuwahi kumueleza kama alikuwa na mgogoro au ugomvi na mtu yeyote.
Wakati uchunguzi huo ukiendelea, mke wa mwalimu wake Jovina Mwakiyee (33), mkazi wa Kijiji cha Mang'ula A, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kula njama na kumuua mume wake.
Akizungumzia na Mwananchi Digital, mdogo wa marehemu amesema alipata taarifa za mauaji ya kaka yake Juni Mosi, 2024 usiku kutoka kwa shemeji yake (Jovina) ambapo alielezwa kuwa walivamiwa usiku huo na watu wasiojulikana na kuanza kumshambulia kaka yake.
“Baada ya kupata taarifa hizo nikiwa nyumbani Simiyu, nilianza kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki waliokuwa karibu na kaka huku Morogoro na ilipofika asubuhi tukapata taarifa kuwa kaka amefariki akiwa hospitali Ifakara, basi nikiwa na ndugu wengine tulikwenda Morogoro na kuchukua mwili wa mpendwa wetu,” amesema Clavery.
Ameongeza kuwa baada ya kufika Morogoro kwa ajili ya kuchukua mwili wa kaka yake, hakuweza kupata nguvu na muda wa kuuliza chanzo cha mauaji hayo na wala kujua nani amehusika, bali waliweza kuwasiliana na polisi na kukabidhiwa mwili na kuusafirisha hadi Simiyu kwa ajili mazishi.
“Hata hivyo, baada ya kufika Ifakara tulipata taarifa kutoka polisi kuwa yule shemeji amekamatwa na kushikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kaka na kula njama, sisi kama familia hatuwezi kuthibitisha kama kweli shemeji amefanya hivyo ama la, wenye uwezo wa kuthibitisha hilo ni polisi baada ya kukamilisha uchunguzi,” amesema Clavery.
Kuhusu maisha aliyokuwa akiishi kaka yake na mke wake, Clavery amesema hana uhakika kama yalikuwa ni maisha mazuri na furaha ama ya migogoro kwa kuwa katika kipindi chote walichoishi, hakuwahi kusikia kesi wala malalamiko kutoka kwa wanandoa hao.
“Enzi za uhai wake, kaka yangu alikuwa ni mtu mcheshi, hakuwa mgomvi, yawezekana alikuwa akipita kwenye migogoro ya ndoa lakini mimi kama mdogo wake na hata ndugu wengine hawajawahi kusikia alilalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili na mke wake, hivyo kama alikuwa akipita kwenye magumu basi alichagua kuvumilia,” amesema Clavery.
Akieleza kauli ya mwisho aliyoongea na kaka yake, Clavery amesema wamekuwa na mazungumzo ya kawaida lakini mara ya mwisho alimtumia picha na kumuandikia ujumbe kuwa picha hiyo itumike kwenye jeneza endapo atafariki siku yoyote.
“Nakumbuka kuna picha moja alinitumia na kuniambia kama atakufa basi ndiyo itumike kwenye jeneza, sikujua alikuwa anamaanisha nini, mimi niliitunza ile picha na siku ya msiba tuliamua kuitumia ile picha kama alivyousia na hiki ndio kitu kinachoniuma zaidi,” amesema Clavery.
Amesema kaka yake ni mtoto wa tatu kati ya watoto sita waliozaliwa kwenye familia ya mzee Tungaraza ambapo naye ameacha watoto watatu aliozaa na mke wake huyo ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi.
Amesema tayari watoto wawili kati ya hao watatu wamechukuliwa na ndugu zao na mmoja mdogo mwenye umri chini ya miaka miwili alichukuliwa na akiwa na mama yake polisi walipokuja kukamata.
Mmoja wa walimu ambao ni marafiki wa karibu wa marehemu Tungaraza ambaye hakutaka kutaja jina lake, amesema taarifa alizopata ni kwamba wanandoa hao walikuwa kwenye mgogoro ambao unaelezwa kuwa ulitokea baada ya mke kutokuwa mwaminifu katika ndoa yake.
“Mwalimu Tungaraza enzi za uhai wake alisumbuana na mke wake hasa kwa kile kinachodaiwa kuwa mke wake hakuwa mwaminifu na zipo taarifa kuwa alikuwa na uhusiano na kijana mmoja ambaye tunasikia tayari ameshakamatwa,” amesema mwalimu huyo.
Jirani wa marehemu Tungaraza ambaye pia ni katibu wa Kitongoji cha Gendeni, Kijiji cha Mang'ula A, Fahamia Abdallah amesema Aprili 2024, Tungaraza alifika kwenye Serikali ya kitongoji hicho na kueleza mgogoro uliopo baina yake na mke wake, huku akitaja sababu kubwa ya mgogoro huo kuwa ni mke wake kutokuwa mwaminifu katika ndoa na kumtaja kijana mmoja kuwa alikuwa na mahusiano na mke wake.
Katibu huyo wa kitongoji amesema kuwa baada ya kupokea madai hayo mke wa Tungaraza aliitwa katika ofisi hizo na viongozi akiwemo yeye katibu na baada ya kuelezwa kile anachotuhumiwa mwanamke huyo alimuomba radhi mume wake (Tungaraza) na kumuahidi kujirekebisha hasa kitabia na hivyo wanandoa hao waliondoka na kwenda kuendelea na maisha kama kawaida.
“Wiki mbili kabla ya Mwalimu Tungaraza hajauawa, alinipigia na kunipa taarifa kuwa kijana aliyekuwa akimtuhumu kujihusisha kimapemzi na mke wake aliendelea kufika nyumbani kwake. Hivyo aliniomba nizungumze na mke wake na nimuonye kwa kuwa jambo hilo halipendi, sikuwahi kumuita huyu mwanamke kwa kuwa na mimi nilianguka na kuvunjika mguu. Nilitamani kabla ya kumuita nifanye uchunguzi wangu ili nijiridhishe lakini ndo hivyo kama sijakamilisha uchunguzi ndipo tukio hilo likatokea," amesema Fahamia.
Akizungumzia marehemu Tungaraza, katibu huyo amesema tangu amemfahamu hajawahi kumuona akigombana na mtu yeyote na mara zote amekuwa akicheka na watu na pia hajawahi kupelekwa kwenye Serikali ya kijiji kwa tuhuma zozote, hivyo kifo chake kimeacha maswali mengi kwa wananchi wa Mang'ula na hata maeneo ya jirani.
Kufuatia tukio hilo, katibu huyo amesema Serikali ya kijiji imepanga kuitisha mkutano mkubwa wa wananchi kwa ajili ya kutoa elimu ya namna ya kuepukana na matukio kama hayo ambayo yanaweza kutokea, pia ameliomba Jeshi la Polisi kutenda haki ili wote waliohusika na mauaji hayo wakamatwe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama akizungumza na waandishi wa habari, amesema mwalimu huyo akiwa amelala na mtuhumiwa (mke wake) na watoto wao wawili, alivamiwa ndani na kuuawa kwa kupigwa na kitu butu kichwani.
Kamanda Mkama amesema baada ya mauaji hayo, jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi zaidi ili kuwapata watuhumiwa wengine ambao wanatuhumiwa kushirikiana na mwanamke huyo.
Hivi bodaboda anakujulaje, khaa. Hao wake za watu nao ni maharage ya mbeya. Boda haswa loh.Mnawapa sifa za bure tu. Wanakula wale wanawake wachovu wachovu.
Kuna jamaa atakuambia "tafuta hela"Bodaboda 😡😡😡

Hao ndio eanawake sasa. Halafu hautasikia kelele za feminists bladikamengelesiHuyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda. Na amezaa na huyo Boda mtoto mmoja wa mwisho katika watatu. Jana mwili umesafirishwa kwenda Ukerewe kwa mazishi. Mwanamke yupo police Morogoro kala kipigo kaeleza upuuzi wake wote na alioshiriki nao katika uhalifu huu!
===
Wakati Jeshi la Polisi mkoani Morogoro likiendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Signal, Christian Tungaraza, mdogo wa marehemu, Clavery Tungaraza amesema mara ya mwisho kaka yake alimtumia picha yake na kumwelekeza kwamba itumike kwenye mazishi yake atakapokuwa amekufa.
Clavery amebainisha kwamba hadi sasa hafahamu mauaji hayo yametokana na nini kwa kuwa marehemu kaka yake hakuwahi kumueleza kama alikuwa na mgogoro au ugomvi na mtu yeyote.
Wakati uchunguzi huo ukiendelea, mke wa mwalimu wake Jovina Mwakiyee (33), mkazi wa Kijiji cha Mang'ula A, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kula njama na kumuua mume wake.
Akizungumzia na Mwananchi Digital, mdogo wa marehemu amesema alipata taarifa za mauaji ya kaka yake Juni Mosi, 2024 usiku kutoka kwa shemeji yake (Jovina) ambapo alielezwa kuwa walivamiwa usiku huo na watu wasiojulikana na kuanza kumshambulia kaka yake.
“Baada ya kupata taarifa hizo nikiwa nyumbani Simiyu, nilianza kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki waliokuwa karibu na kaka huku Morogoro na ilipofika asubuhi tukapata taarifa kuwa kaka amefariki akiwa hospitali Ifakara, basi nikiwa na ndugu wengine tulikwenda Morogoro na kuchukua mwili wa mpendwa wetu,” amesema Clavery.
Ameongeza kuwa baada ya kufika Morogoro kwa ajili ya kuchukua mwili wa kaka yake, hakuweza kupata nguvu na muda wa kuuliza chanzo cha mauaji hayo na wala kujua nani amehusika, bali waliweza kuwasiliana na polisi na kukabidhiwa mwili na kuusafirisha hadi Simiyu kwa ajili mazishi.
“Hata hivyo, baada ya kufika Ifakara tulipata taarifa kutoka polisi kuwa yule shemeji amekamatwa na kushikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kaka na kula njama, sisi kama familia hatuwezi kuthibitisha kama kweli shemeji amefanya hivyo ama la, wenye uwezo wa kuthibitisha hilo ni polisi baada ya kukamilisha uchunguzi,” amesema Clavery.
Kuhusu maisha aliyokuwa akiishi kaka yake na mke wake, Clavery amesema hana uhakika kama yalikuwa ni maisha mazuri na furaha ama ya migogoro kwa kuwa katika kipindi chote walichoishi, hakuwahi kusikia kesi wala malalamiko kutoka kwa wanandoa hao.
“Enzi za uhai wake, kaka yangu alikuwa ni mtu mcheshi, hakuwa mgomvi, yawezekana alikuwa akipita kwenye migogoro ya ndoa lakini mimi kama mdogo wake na hata ndugu wengine hawajawahi kusikia alilalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili na mke wake, hivyo kama alikuwa akipita kwenye magumu basi alichagua kuvumilia,” amesema Clavery.
Akieleza kauli ya mwisho aliyoongea na kaka yake, Clavery amesema wamekuwa na mazungumzo ya kawaida lakini mara ya mwisho alimtumia picha na kumuandikia ujumbe kuwa picha hiyo itumike kwenye jeneza endapo atafariki siku yoyote.
“Nakumbuka kuna picha moja alinitumia na kuniambia kama atakufa basi ndiyo itumike kwenye jeneza, sikujua alikuwa anamaanisha nini, mimi niliitunza ile picha na siku ya msiba tuliamua kuitumia ile picha kama alivyousia na hiki ndio kitu kinachoniuma zaidi,” amesema Clavery.
Amesema kaka yake ni mtoto wa tatu kati ya watoto sita waliozaliwa kwenye familia ya mzee Tungaraza ambapo naye ameacha watoto watatu aliozaa na mke wake huyo ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi.
Amesema tayari watoto wawili kati ya hao watatu wamechukuliwa na ndugu zao na mmoja mdogo mwenye umri chini ya miaka miwili alichukuliwa na akiwa na mama yake polisi walipokuja kukamata.
Mmoja wa walimu ambao ni marafiki wa karibu wa marehemu Tungaraza ambaye hakutaka kutaja jina lake, amesema taarifa alizopata ni kwamba wanandoa hao walikuwa kwenye mgogoro ambao unaelezwa kuwa ulitokea baada ya mke kutokuwa mwaminifu katika ndoa yake.
“Mwalimu Tungaraza enzi za uhai wake alisumbuana na mke wake hasa kwa kile kinachodaiwa kuwa mke wake hakuwa mwaminifu na zipo taarifa kuwa alikuwa na uhusiano na kijana mmoja ambaye tunasikia tayari ameshakamatwa,” amesema mwalimu huyo.
Jirani wa marehemu Tungaraza ambaye pia ni katibu wa Kitongoji cha Gendeni, Kijiji cha Mang'ula A, Fahamia Abdallah amesema Aprili 2024, Tungaraza alifika kwenye Serikali ya kitongoji hicho na kueleza mgogoro uliopo baina yake na mke wake, huku akitaja sababu kubwa ya mgogoro huo kuwa ni mke wake kutokuwa mwaminifu katika ndoa na kumtaja kijana mmoja kuwa alikuwa na mahusiano na mke wake.
Katibu huyo wa kitongoji amesema kuwa baada ya kupokea madai hayo mke wa Tungaraza aliitwa katika ofisi hizo na viongozi akiwemo yeye katibu na baada ya kuelezwa kile anachotuhumiwa mwanamke huyo alimuomba radhi mume wake (Tungaraza) na kumuahidi kujirekebisha hasa kitabia na hivyo wanandoa hao waliondoka na kwenda kuendelea na maisha kama kawaida.
“Wiki mbili kabla ya Mwalimu Tungaraza hajauawa, alinipigia na kunipa taarifa kuwa kijana aliyekuwa akimtuhumu kujihusisha kimapemzi na mke wake aliendelea kufika nyumbani kwake. Hivyo aliniomba nizungumze na mke wake na nimuonye kwa kuwa jambo hilo halipendi, sikuwahi kumuita huyu mwanamke kwa kuwa na mimi nilianguka na kuvunjika mguu. Nilitamani kabla ya kumuita nifanye uchunguzi wangu ili nijiridhishe lakini ndo hivyo kama sijakamilisha uchunguzi ndipo tukio hilo likatokea," amesema Fahamia.
Akizungumzia marehemu Tungaraza, katibu huyo amesema tangu amemfahamu hajawahi kumuona akigombana na mtu yeyote na mara zote amekuwa akicheka na watu na pia hajawahi kupelekwa kwenye Serikali ya kijiji kwa tuhuma zozote, hivyo kifo chake kimeacha maswali mengi kwa wananchi wa Mang'ula na hata maeneo ya jirani.
Kufuatia tukio hilo, katibu huyo amesema Serikali ya kijiji imepanga kuitisha mkutano mkubwa wa wananchi kwa ajili ya kutoa elimu ya namna ya kuepukana na matukio kama hayo ambayo yanaweza kutokea, pia ameliomba Jeshi la Polisi kutenda haki ili wote waliohusika na mauaji hayo wakamatwe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama akizungumza na waandishi wa habari, amesema mwalimu huyo akiwa amelala na mtuhumiwa (mke wake) na watoto wao wawili, alivamiwa ndani na kuuawa kwa kupigwa na kitu butu kichwani.
Kamanda Mkama amesema baada ya mauaji hayo, jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi zaidi ili kuwapata watuhumiwa wengine ambao wanatuhumiwa kushirikiana na mwanamke huyo.
Yaan ni hatarii kwa kwelii, woiiiiihJamaa akienda kazini (Shule) Mwamba anakuja mpaka home anakula mapochopocho na kutafuna mzigo kabisa hadi kazaa naye dah[emoji24][emoji24][emoji24] Mungu tuiepushie huo msiba. Mana hapo kuna mawili, uuawe au uue.