Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
Jamani wanaume wenzangu ukiona mkeo amekusaliti na kuna migogoro haishi ndani ni bora ukamuacha kwa kuokoa uhai wako
 
Kuna Jamaa huku nilipo anatombewa na Boda tena hio Boda ndio inamwendesha mkewe mara kwa mara na Jamaa akisafiri tu Boda inakuja kulala na Mke wa Jamaa inapiga mashine kisawasawa, wanawake wana ROHO za Iblisi Shetani
haya mambo ndiyo hutufanya tusioe, tuwe tunapiga mashine tu na kusepa bila kuweka kambi tuishi pamoja. Kugongewa ni fedheha na dharau kubwa ndio maana wanaume wengi hawapendi kufanyiwa vitendo hivyo na wake zao
 
Naishi karibu na sehemu hilo Tukio lilipotokea lkn kwa maumivu nilioyapata baada ya kusikia sikujaribu kusogea pale mpaka jamaa anasafirishwa kwenda huko kwao Ukerewe. Tunaoishi maenea haya tuliumia sana.
Nahisi wewe ndugu yangu kabisa, Mang'ula nina ndugu zangu wengi sana waparee,,,, akina kicholi.
 
Mnajua kwa nini madada poa yanaonekana ni bora kuliko hawa walioolewa? Hakuna mwanaume mwenye wivu na kahaba kwa sababu analiwa na wengi, unakula kwa urefu wa hela yako japo changamoto zao zinatatulika kwa hela tu ndio ule tani yako unavyotaka. Mwanamke aliyeolewa hapaswi kugawa uroda kwa mwanaume mwingine atasababisha mauaji. Wanaume huwa tunaona kama hao wenza wetu wakitoa uroda nje unaliwa vibaya zaidi yetu tunavyowala ndoani. Yaani wanavurugwa vibaya njia zote. Tukifikiria hivyo tunaona kudharauliwa kwa kuwaendea kistaarabu wake zetu. Wahuni hawarembi wanapeleka moto vibaya sana kwa wake zetu ndio maana hatukubali mchezo huo, kuna mawili ama kumuua mke au kumtimua kabla hajakudhuru wewe. Uhuni ni hatari kwa ustawi wa ndoa
 
Nilivyoona hiyo picha ya nguo saresare halafu kitenge nikajua tu jamaa yuko na shida,
Ushauri wangu naiomba serikali ifute bodaboda
bodaboda wenyewe wanakiri kujihusisha kimapenzi na wake za watu ukipiga nao stori hawabishi. Wanasema wakimpeleka mteja wao kunyanduliwa sehemu na wao huomba penzi, la sivyo watatoa siri. Tukisema bodaboda ni wahuni muwe mnatuelewa. Ni wadandiaji wa mapenzi ya wateja wao kwa kuwatishia kuwa watatoa siri kwa kuchora ramani ya fumanizi kwa wenye wake wanaonyanduliwa nje
 
Mafumanizi miaka hii yamepungua sana, wake za watu wanaliwa kwa siri kubwa. Ole wao wangeliwa kama zamani tungetoa kichapo kama cha kibaka
 
Back
Top Bottom