Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Inawezekana lkn taratibu za humu JF hatutakiwi kujuana ndio maana hata utambulisho unafichwa😁😁Nahisi wewe ndugu yangu kabisa, Mang'ula nina ndugu zangu wengi sana waparee,,,, akina kicholi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana lkn taratibu za humu JF hatutakiwi kujuana ndio maana hata utambulisho unafichwa😁😁Nahisi wewe ndugu yangu kabisa, Mang'ula nina ndugu zangu wengi sana waparee,,,, akina kicholi.
Kama uliteswa na mapenzi ni wewee acha wenzako waenjoy loveImefika hatua mpka nikiona mtu anaoa namwona kama goigoi flani iv😁
Sijawahi kuteswa ila wanandoa wengi wapo kama wehu😅Kama uliteswa na mapenzi ni wewee acha wenzako waenjoy love
Mbona mimi sio mwehuSijawahi kuteswa ila wanandoa wengi wapo kama wehu😅
Kumbe wewe ni mwana ndoa😁😁Mbona mimi sio mwehu
NdioKumbe wewe ni mwana ndoa😁😁
Gwede😃🤝Ndio
Mkuu hiyo asilimia 0.1 ni nyingi sana kwa hawa viumbeKwenye 100 ni 99.9% ni 0.1 ndio sio makatiri
Guede ana gf wake😣Gwede😃
😆😆😆😆😆Basi Djgui Diara na utege wake😀😀.Guede ana gf wake😣
Ipo, mara nyingi hukumu ni fidia.Hakuna kesi ya kutembea na mke wa mtu hata ukienda polisi kwasababu hao ni watu wazima wameelewana
Diara simtaki mimi Nilimkubali Guede tu😆😆😆😆😆Basi Djgui Diara na utege wake
Nakusabahi sana
Mwehu hajijui kama ni mwehu.Mbona mimi sio mwehu
😄Diara simtaki mimi Nilimkubali Guede tu
Asante mkuu
Mwehu hajijui kama ni mwehu.
Halafu kuna kitu nataka kukuuliza, njoo PM please.Unapenda kunitupia vijembe nakuachia sababu naheshimu picha ya Magufuli hapo kwenye avatar yako lah sivyo....
NakujaHalafu kuna kitu nataka kukuuliza, njoo PM please.
EeeMwehu hajijui kama ni mwehu.
Ee ndito