Morogoro: Basi la New Force lapata ajali Iyovi

Morogoro: Basi la New Force lapata ajali Iyovi

Poleni sana.

Me nashauri mabasi wawe wanatulipa fidia incase tukipata ajali.
Mkuu umeongea point ya msingi Sana, haiwezekani unifanye kilema alafu mambo yaishie kienyeji tu, haiwezekani nipotelewe na Mali baada ya ajali alafu tuishie kusema ni mipango ya Mungu
 
Hivi newforce,happynation,Golden deer

Haya mabasi wanapewa bure? Kila siku ajali
 
Poleni sana.

Me nashauri mabasi wawe wanatulipa fidia incase tukipata ajali.
Hii ipo Zimbabwe pana mbongo alikimbia Kampuni ajali mbili ziliongozana na alikua na bus tatu wale jamaa wanataifisha bus walipwe wahanga kama una Bima magumashi...
 
Back
Top Bottom