Mwaka wa kuforce umeanza vibayaAjali Ya Basi la New Force lililokuwa linatoka Mbeya Kuja Dar ( Hakuna Kulala ) Maeneo ya Kidai B baada ya Kugongana na Lori na Gari Ndogo
Abiria wako Salama Kuna Majeruhi Wadogo Tu
Iii imetokea leo 23/01/2024 asubuhi Mtoremko wa Iyovi
Pia soma: New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?
View attachment 2880833
Mungu atukuzwe kwa rehema na neema zake.Ajali Ya Basi la New Force lililokuwa linatoka Mbeya Kuja Dar ( Hakuna Kulala ) Maeneo ya Kidai B baada ya Kugongana na Lori na Gari Ndogo
Abiria wako Salama Kuna Majeruhi Wadogo Tu
Iii imetokea leo 23/01/2024 asubuhi Mtoremko wa Iyovi
Pia soma: New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?
View attachment 2880833
Mkuu umeongea point ya msingi Sana, haiwezekani unifanye kilema alafu mambo yaishie kienyeji tu, haiwezekani nipotelewe na Mali baada ya ajali alafu tuishie kusema ni mipango ya MunguPoleni sana.
Me nashauri mabasi wawe wanatulipa fidia incase tukipata ajali.
Mpaka wa moro na iringa ni daraja mbili.Iyovi haipo Iringa ni Morogoro. Pole kwa majeruhi
Ni Ruhaa Mbuyuni pale kuna kibao kabisaMpaka wa moro na iringa ni daraja mbili.
Hii ipo Zimbabwe pana mbongo alikimbia Kampuni ajali mbili ziliongozana na alikua na bus tatu wale jamaa wanataifisha bus walipwe wahanga kama una Bima magumashi...Poleni sana.
Me nashauri mabasi wawe wanatulipa fidia incase tukipata ajali.
sio kweli mkuu, mpaka upo Ruaha darajani paleMpaka wa moro na iringa ni daraja mbili.