Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

Salam wakuu.

Hii special kwa wakazi wa Dar na Pwani.

Najua mnakuaga busy sana, sana na kuna muda mnakosa ata muda wa kupumzisha akili na mwili, sababu ya muda na kipato kwa wengine.

Kuna hii Hiking Day trip ya kwenda Morogoro na kurudi, unaweza have some fun na uka relax sana mwili na akili.

Maandazi.
Kwakua muda mwingi itakua ni kupanda milima, vaa tu nguo utakazo kua comfortable mfano raba, Tshirt, buti. Mfano my outfit ilikua hivi:
View attachment 2820162

ila kama utakua na earpods kama unapenda podcast & music, na mfuko wa rambo kwaajili ya kuweka cm incase mvua ikikuchapa. Vingine labda maji au kopo la maji na hela ya emergency ata buku 5.

Mwanzo.
Unatoka Dar au Pwani na kwenda Moro kwa Bus, na ukifika Moro Msamvu unachukua bajaji hadi town then boda hadi kwa Mkuu wa Mkoa hapo ndio hiking itapoanzia.

Kama utakua na private car, unaweza enda hadi pale kwa mkuu wa mkoa kuna walinzi wanaweza kukuangalizia gari hadi utakaposhuka.

Safari
Utaanza mdogo mdogo kupanda milima ya Uluguru utapishana na vijiji mbalimbali ambapo utaona na kujifunza shughuli mbalimbali wanazofanya sana sana za kilimo.

View attachment 2820174

Vitu utakavyofanya.
1. Kwanza hiking.
View attachment 2820166

2. Pili, Forest walking.
View attachment 2820167

3. Tatu, utaona water falls mbalimbali maarufu zaidi ikiwa Choma waterfalls ila sikwenda kwasababu ya usalama kipindi cha mvua. Hii ni ndogo.
View attachment 2820168

4. Nne, kama utataka camping kuna mahala Wanafanya camping unaweza lala msituni lakini tuassume hii ni day trip kwahiyo hii hatutaidiscuss sana.
View attachment 2820176

5, Tano utakaa mbali na makelele ya mji.
View attachment 2820169

6, Sita, utakutana na wakazi wa uko wengi ni wakulima na wako friendly sana.
View attachment 2820173
Mfano wa mashamba zaidi:
View attachment 2820180
7. Saba, unaweza kuogelea. Maji ya baridi sana.

8. Nane, utajifunza jinsi wanavyo sambaza maji (kama DAWASA) ila kwa gravity. Aisee.

9, Tisa uta enjoy sana kama mtu wa nature.

View attachment 2820170
View attachment 2820181
Gharama.
Safari ya Dar to Moro ni Elfu 10 kwenda na 10 kurudi jumla 20.

Bodaboda na bajaji kutoka Msamvu to Town haizidi elfu 5 jumla.

Kula na snacks itategemea na tumbo lako tuassume elfu 10.

Jumla kuu 35 elfu.

Muda:
Ukifika kwa mkuu wa Mkoa saa 4 Tegemea kuspend kama masaa 6-8 kuanzia kupanda hadi kushuka. Kutegemea speed yako na jinsi utakavopenda kuzunguka.

Vitu vya kunote:
Chukua kopo la maji, yakiisha utayakuta uko juu ya mtoni.
Mkiwa wawili poa zaidi kupeana company ila ata solo unaweza.
Mtandao sio wa kuutegemea sana.
Msimu wa mvua hautabiriki dakika yoyote inamwagika.

View attachment 2820178
View attachment 2820172
Njia zinateleza sana, kuanguka muda wowote.
View attachment 2820171
View attachment 2820177
Hitimisho.
Hiking na nature sio ya kila mtu ila siku ukitaka kujaribu, jaribu.

Wakazi wa Moro wanaweza ongezea baadhi ya vitu nilivyosahau.

Pamoja.
✅🙏
 
Dah safi sana na pole mzee. Natumai utarudia tena kwa taadhali zaidi.

Camping za tent zipo ila hapo itabidi ushirikishe local tour guides (itaongeza kidogo gharama), au ukaamua kukaa kwenye nyumba.

Mfano hii hapa, ambayo nilipiga cm nikaambiwa 40-50 hivi per night.
View attachment 2820248
Yeah (tour guides) nafikiri ni wazo zuri kwa sehemu ambayo sio familiar kwangu,so hapo upande wa accommodation ita include siku utakazo plan +idadi ikiwa pamoja na tour guide + chakula ...hawana mawasiliano huko?

This time kabla ya February sijamaliza likizo nimeplan kufika usambara hills-Tanga,kisarawe na hapa nitaanza napo kabla ya sehemu nyingine,Iringa(nika ride balloon maana sijawahi😅) ikitokea sehemu nzuri nyingine/other activities za kuvutia na budget ikiruhusu ni sawa na hali ya hewa .
 
Haha izo vitu memories zake zinakaa kichwani milele.

Kisarawe nimeenda sana (zaidi ya mara 5) nitaiandikia basi tuidiscuss na wadau. Napo sio mbaya kwa weekend gateway.
 
Ukienda msimu wa kiangazi dah kufika juu shughuli ila huu msimu fresh unafika.

Kuna watu wanapanda na bodaboda ila gharama isio na maana. Kutoka kwa Mkuu wa Mkoa na kurudi boda anaweza kukuambia 15k hadi 20k wanaona we kishua mtalii kumbe mpambanaji umechoka makelele ya Kariakoo tu.
Ngoja December nione kama nitaweza tena.
 
Huu mwaka wetu. Kuna watu wanakula panga la point lazima tukae kileleni. Subiri 😂😂😂
Chelsea wanapigwa vita balaa wanakoenda wataenda kucheza ligi ya Russia maana ikionekana picha ya Abromovic tu Uwanjani wanakatwa points sijui fail lilionekana la Boss kazi ipo aisee...Arsenal bado hatuna nguvu ya Ubingwa kama Man City maana City anaweza kuzifunga Timu nyingi bila kuchoka kuliko Arsenal...
 
Salam wakuu.

Hii special kwa wakazi wa Dar na Pwani.

Najua mnakuaga busy sana, sana na kuna muda mnakosa ata muda wa kupumzisha akili na mwili, sababu ya muda na kipato kwa wengine.

Kuna hii Hiking Day trip ya kwenda Morogoro na kurudi, unaweza have some fun na uka relax sana mwili na akili.

Maandazi.
Kwakua muda mwingi itakua ni kupanda milima, vaa tu nguo utakazo kua comfortable mfano raba, Tshirt, buti. Mfano my outfit ilikua hivi:
View attachment 2820162

ila kama utakua na earpods kama unapenda podcast & music, na mfuko wa rambo kwaajili ya kuweka cm incase mvua ikikuchapa. Vingine labda maji au kopo la maji na hela ya emergency ata buku 5.

Mwanzo.
Unatoka Dar au Pwani na kwenda Moro kwa Bus, na ukifika Moro Msamvu unachukua bajaji hadi town then boda hadi kwa Mkuu wa Mkoa hapo ndio hiking itapoanzia.

Kama utakua na private car, unaweza enda hadi pale kwa mkuu wa mkoa kuna walinzi wanaweza kukuangalizia gari hadi utakaposhuka.

Safari
Utaanza mdogo mdogo kupanda milima ya Uluguru utapishana na vijiji mbalimbali ambapo utaona na kujifunza shughuli mbalimbali wanazofanya sana sana za kilimo.

View attachment 2820174

Vitu utakavyofanya.
1. Kwanza hiking.
View attachment 2820166

2. Pili, Forest walking.
View attachment 2820167

3. Tatu, utaona water falls mbalimbali maarufu zaidi ikiwa Choma waterfalls ila sikwenda kwasababu ya usalama kipindi cha mvua. Hii ni ndogo.
View attachment 2820168

4. Nne, kama utataka camping kuna mahala Wanafanya camping unaweza lala msituni lakini tuassume hii ni day trip kwahiyo hii hatutaidiscuss sana.
View attachment 2820176

5, Tano utakaa mbali na makelele ya mji.
View attachment 2820169

6, Sita, utakutana na wakazi wa uko wengi ni wakulima na wako friendly sana.
View attachment 2820173
Mfano wa mashamba zaidi:
View attachment 2820180
7. Saba, unaweza kuogelea. Maji ya baridi sana.

8. Nane, utajifunza jinsi wanavyo sambaza maji (kama DAWASA) ila kwa gravity. Aisee.

9, Tisa uta enjoy sana kama mtu wa nature.

View attachment 2820170
View attachment 2820181
Gharama.
Safari ya Dar to Moro ni Elfu 10 kwenda na 10 kurudi jumla 20.

Bodaboda na bajaji kutoka Msamvu to Town haizidi elfu 5 jumla.

Kula na snacks itategemea na tumbo lako tuassume elfu 10.

Jumla kuu 35 elfu.

Muda:
Ukifika kwa mkuu wa Mkoa saa 4 Tegemea kuspend kama masaa 6-8 kuanzia kupanda hadi kushuka. Kutegemea speed yako na jinsi utakavopenda kuzunguka.

Vitu vya kunote:
Chukua kopo la maji, yakiisha utayakuta uko juu ya mtoni.
Mkiwa wawili poa zaidi kupeana company ila ata solo unaweza.
Mtandao sio wa kuutegemea sana.
Msimu wa mvua hautabiriki dakika yoyote inamwagika.

View attachment 2820178
View attachment 2820172
Njia zinateleza sana, kuanguka muda wowote.
View attachment 2820171
View attachment 2820177
Hitimisho.
Hiking na nature sio ya kila mtu ila siku ukitaka kujaribu, jaribu.

Wakazi wa Moro wanaweza ongezea baadhi ya vitu nilivyosahau.

Pamoja.
Safi sana na shukrani kwa ku-share
 
Back
Top Bottom