Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

Feb nadhani tutajua nani ndio mwenye kombe lake ila Man City ana % nyingi sana maana wale Wananchi wapo serious sana na kazi yao...
Baadhi ya Watanzania ni malofa sana kiakili.Tunazungumzia Adventures ambazo wengine hawana,nyie mnaleta mambo ya mipira ya Wazungu,mnasahau kwamba hata hao manowashabikia wanatamani kuja kufanya utalii hapa kwetu.Kwanza huko Arsenal nani anakujua wewe ngozi ya tako.Twenzetu Moro tukawaone wapogoro
 
Sasa imagine natoka mjini naenda porini kukutana na mijoka. Hell no wacha nitulie zangu Ubungo tu nikitaka leisure time naenda Mlimani City kupata coffee nashangaa mizigo wee hadi nikiridhika nafsi narudi zangu kulala.
Umenichekesha mkuu, Ubungo na m.city panachosha, kelele na aina ya watu. Nenda shamba milimani huko ukafurahie uumbaji. Nenda hata Lushoto huko, upareni kwenu, moro kote huko unapata ladha tofauti na ya mjini.
 
Unakamata na papuchi za shamba bado zina harufu ya kienyeji siyo hizi za taoo zina harufu za Chinese.
 
Baadhi ya Watanzania ni malofa sana kiakili.Tunazungumzia Adventures ambazo wengine hawana,nyie mnaleta mambo ya mipira ya Wazungu,mnasahau kwamba hata hao manowashabikia wanatamani kuja kufanya utalii hapa kwetu.Kwanza huko Arsenal nani anakujua wewe ngozi ya tako.Twenzetu Moro tukawaone wapogoro
Mbona unatufwokeya jama!
 
sasa wakuu mkipotelea uko juu, tunamkopa nani?😄

na je naweza kwenda bila kuwa na mazoezi?

kudos uzi mzuri. 👏🙌

@mods mngepin hii nyuzi watu wapeane uzoefu wa mambo km haya
Mazoezi sio lazima ila mimi hapa chamoto nakiona miguu inauna sana sana mapaja tokea jana (siku ya pili tokea nishuke) ni kwasababu sio mtu wa tizi kabisa.
 
Hii day trip imenikumbusha route ya Selous Trail Run. Bonge moja la mtoko yaani unakutana na vitumbua point, fruits points, DJ point, Water fall, Melela Nyama choma, Ngoma kwa Babu, view point yaani unakwenda tu full surprises.
 
Dec kuna trip ya namna hii, nimepata idea nzuri. Nitashauri crew yangu twende hapo, japo sioni kiumbe wa kuweza kupanda vilima. Ila ni experience nzuri inaonekana.

Asante kwa kushare nasi.
Wapeleke mkuu, watakuchukia ila hawatakusahau.
 
Mada yangu bora kwa mwaka huu, welldone mtoa mada na umenirudisha nyuma sana na nimekumbuka mengi sana,nilikua scout na badge yangu ya first class niliipatia pale BAHATI CAMP, nimebahatika hadi kufika morning side hadi pale kwenye mnara wa simu, utalii wa ndani ni mzuri mno kuchochea maendeleo ya ndani, yes hii nayo ninaiweka kwenye bucket list yangu InshaAllah
Pamoja sana mkuu. Kule kunazidi kua kuzuri wanakijiji wanajitahidi sana kutunza mazingira.
 
Back
Top Bottom