Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

Il
Tukale kuku na KUKU! 🀣🀣
Japo kweli mimi mvivu wa adventures, ila haya mambo mazuri sana. Je, unapafaham vizuri?
KUKU!🀣🀣
Hapana sipafahamu kabisa Moro,huwa napita nikielekea nyanda za juu kusini au kanda ya Ziwa,ila Ile milima hupendeza macho yangu sana,!!plus na hizi picha za Mad Max kuja haja ya kupatembelea Kweli!
 
Umenichekesha mkuu, Ubungo na m.city panachosha, kelele na aina ya watu. Nenda shamba milimani huko ukafurahie uumbaji. Nenda hata Lushoto huko, upareni kwenu, moro kote huko unapata ladha tofauti na ya mjini.
Huyo Extrovert ni bishoo sana wa town,🀣🀣... Haelewi nature inavyoleta utulivu wa afya ya akili
 
Ila Nina swali,Mad Max huko milimani napanda na miguu yangu au bodaboda?maana Ile milima naionaga ni mirefu
Haa Haa Hapo Lazima Utumie Miguu Yako
Ndiyo Inakamilisha Nia Hasa Ya Tukio Zima Pia Utaweza Kuona Sasa Yote Aliyoyasema Kwenye Thread Yake.

Ukiwa Ndani Ya Boda Kuna Mandhari Nyingi Hutaona Na Saa Ngapi Nafasi Ya Hata Kuuliza Utaipata
 
Ukienda msimu wa kiangazi dah kufika juu shughuli ila huu msimu fresh unafika.

Kuna watu wanapanda na bodaboda ila gharama isio na maana. Kutoka kwa Mkuu wa Mkoa na kurudi boda anaweza kukuambia 15k hadi 20k wanaona we kishua mtalii kumbe mpambanaji umechoka makelele ya Kariakoo tu.
πŸ€£πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Canoeing yes.. nishafanya
Hiking hapana…

Canoeing pia ipo Ngaresero Lodge, USA river. Pia wana horse riding, forest walk na croquet kwa wanaoweza.
Ts a very cool place… nikupeleke mwalim? Certified Hater
Hivi unataka ukanifanyeje? Mwl sikia Mimi hayo mambo nayaonaga tu Wala siyapendi kujichosha tu
 
Hiking nimewahi fanya huku arusha maeneo ilikuwa inaanza oldadai hadi huko juu ndani ndani msituni naunakutana na waterfalls meaning vyanzo vya maji,milima,miti, ndege wazuri na vingine vingi unaweza hata vua kambale huko juu .. so hiking ni nzuri hata karibu na arusha national park na mlima kilimanjaro, so ni raha unakutana na wanyama ambao hawang'ati kama swala, dikidiki na wengine ni raha
 
Memories zake hazifutiki milele aisee. Sio kama ukienda Bar, kesho tu ushasahau.
 
Back
Top Bottom