Morogoro: Gari la Serikali limegonga na kuua mwanafunzi

Morogoro: Gari la Serikali limegonga na kuua mwanafunzi

Mwili wa mwanafunzi Yulia Samson Difrata, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Chigela, umeondolewa eneo la ajali, katika Kijiji cha Tabu Hotel, Kitongoji cha Stendi, wilayani Gairo, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa mwanafunzi huyo amegongwa na gari la serikali ambalo halikusimama baada ya kumgonga.

Adui wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe! Mungu tusaidie sana! Poleni kwa familia ya Yulia Samson Difrata. Mpaka natetemeka sijui hawa watu wana roho gani tu?
Hata wiki haijaisha maeneo hayo hayo wananchi walifunga barabara aligongwa wanafunzi na gari la serikali nilikuwa nawahi dodoma alfajir nikakutana na hicho kisa bahati mzuri mh. Jafo alitumia busara kusawazisha mambo wananchi wakaelewa tukapita leo tena nyingine!
 
Hata wiki haijaisha maeneo hayo hayo wananchi walifunga barabara aligongwa wanafunzi mtoto na gari la serikali nilikuwa nawahi dodoma alfajir nikakutana na hicho kisa bahati mzuri mh. Jafo alitumia busara kusawazisha mambo wananchi wakaelewa tukapita
Duuh 😔
 
Back
Top Bottom